Huu mpira ukiingia Penalty Liver mnakufa
Mm naona Adrian ni kipa mzuri tu kulinganisha na kina karius na mignoletKipa hatuna...Kwa Adrian Pale tumeingia cha kike
Pale kati tulipoteanaHongereni sana Liverpool ..you deserve it..
Timu haijachoka, Chelsea walipanga kikosi imara tofauti na mechi ya Man U.Dah atleast ....
Ndo naenda kulaa...
Huyu klopp atatuua presha ...
Ila timu imechoka mazee , wachezaji wamechoka ...
Hivi ni kwamba hela za kununua wachezaji wapya zlkosekana
Kipa hatuna...Kwa Adrian Pale tumeingia cha kike
Really pale hakuna kipa kabisaKipa hatuna...Kwa Adrian Pale tumeingia cha kike
Hongereni sana Liverpool ..you deserve it..
huyu jamaa alikua free agent hana match fitness... ila namkubali sana huyu tofauti angekua simon.Kipa hatuna...Kwa Adrian Pale tumeingia cha kike
sure hana error lead to goalsSijaona kosa lake so far
kua chini ya klopp muda wote ni kama upo chumba cha operation presha tuDah atleast ....
Ndo naenda kulaa...
Huyu klopp atatuua presha ...
Ila timu imechoka mazee , wachezaji wamechoka ...
Hivi ni kwamba hela za kununua wachezaji wapya zlkosekana