james mwayombo
Member
- Aug 22, 2018
- 9
- 5
Huhuhuuuu tulia we soma mchezoDah Liverpool mnatia huruma sana. Hivi mlifikaje final uefa?! Msimu ujao mtadhubutu kuingia hata 16 bora kweli? Angalia kama leo mmecheza nini sasa.
Uyo Klopp ana bahati mbaya sana. Sidhani kama atafanikiwa kubeba kombe lolote akiwa na Liverpool. Jaribuni kutumia falsafa za timu kama Chelsea, labda mtafanikiwa. Klopp hajiamini kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app