Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na msipo ondoa utegemezi wa Mane na Salah basi mtapata tabu saana.

Unatakiwa huelewe, sasa hivi mnashinda kwa sababu wapo na wasipo kuwepo je?

Nyie bado sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Watu tuwasajili, tuwalipe, then utukataze kuwategemea!

Mkuu usipojiangalia ligi itaisha hivi hivi, wewe unakaanga sumu wenzio wanazila kama catalyst.
 
Nilichokiona kwa Firmino ni kama bado hajaipata role yake vizuri kwa sababu Keita anafanya baadhi ya kazi alizokuwa anafanya yeye, angekuwa pure striker huu ulikuwa ni msimu wake wa kutupia nyavu make mlishaji yupo.

Sasa yeye cheza yake ni ile ya kukaa nyuma kidogo ambako kwa sasa wanaingiliana na Keita, nadhani kuna jinsi wanatakiwa kudefine roles zao vizuri, ikibidi yeye pia awe anakaa mkao was kuchungulia goli (around offside line) ili ikipenyezwa inamkuta.

Ni kweli Majukumu ya Firmino Yamefinywa Na K8 that is why anaonekana Kukosa Majukumu Kwa Sasa.
 
Kweli kabisa Keita anarahishisha kazi ya hawa ma forward...Firmino ndogo kipaji kipo atakaa sawa tu..japo umbea kwamba Barcelona wanamtaka na amekanusha...
Kua na Keita kunawafanya hata wasichoke kama zamani....natamani nione Combination ya Fabinbo, Gini na Keita namna watakavyo cheza pengine itakua bora na kuleta mabadiliko sana...

Nilikuwa na hamu ya kumwona Fabinho, ngoja tuendelee kusubiri, muda utafika.
 
Hahahahah sijui jamaa anamaanisha nini hallow, mbona simple calculation tu unshindwaje kumtumia mtoto uliyemzaa!!

Ubaya wa kuchagua mke mbaya, unajikuta kila siku kazi yako ni kukandia mahusiano ya wenzio, Mara ooh, yule hela ndo zinambeba, asingepata mwanamke mzuri vile.
 
Nilichokiona kwa Firmino ni kama bado hajaipata role yake vizuri kwa sababu Keita anafanya baadhi ya kazi alizokuwa anafanya yeye, angekuwa pure striker huu ulikuwa ni msimu wake wa kutupia nyavu make mlishaji yupo.

Sasa yeye cheza yake ni ile ya kukaa nyuma kidogo ambako kwa sasa wanaingiliana na Keita, nadhani kuna jinsi wanatakiwa kudefine roles zao vizuri, ikibidi yeye pia awe anakaa mkao was kuchungulia goli (around offside line) ili ikipenyezwa inamkuta.
Ila kwa kocha fundi kama Klopp lazima najua atafanya kitu na tuweze kumuona Bobby tunaemjua. Jamaa anajua kubadilisha wachezaji waka adapt kwenye nafas ambazo hawakuwa wakicheza mwanzo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwann sturridge asipewe muda na yy mana mech 3 goli 3
Kweli Kop, unajua DS15 ana bahati sana ya kufunga na harembagi mbele ya goli. Tatizo lake pancha nyingi. Ila kwa ratio ya goals per minutes played (goals per game) jamaa ana return nzuri sana.

Kwa game kama ya jana tulikosa nafasi nyingi ambazo kama DS angekuwepo lazima angetupia hata kimoja au viwili. Atatusaidia sana kwenye UEFA, Carabao na FA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ox nae akirudi itakuwa pasua kichwa
Ni changamoto kubwa kweli kweli. Ila kufikia huku kuwa na player zaidi ya mmoja katika kila position inaonyesha kuwa sasa tuna squad depth nzuri. Hii itatusaidia maana rotation itakuwa rahisi, akina Mo wakikomaa kwenye league zile game za mid week za UEFA au FA wanakula mkeka wanakiamsha tena Weekend kwenye League.

Tuombe Mungu tu afya ziendelee kuwa imara msimu huu mbona watatutaka wenyewe.

Ila Klopp ana kazi sana kwenye kuchagua team, na kama tusipo clear out wachezaji kadhaa kabla ya dirisha kufungwa itakuwa changamoto sana. Kwasababu unawachezaji wanaojua bench nao wanataka kucheza, bado lazima utoe nafasi kwa academy players. Dogo kama Curtis Jones yule anatakiwa aanze kuzoea mazingira ya first team maana anaujua sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani sana aanze na yeye kukaa analichungulia goli, ili afanye kazi ya kufunga pia.

Kazi aliyoofanya ya kuwalisha mipira kina Salah imepata bosi mpya.

Na yeye aingie kwenye kundi la kulishwa.

According to my experience ya Kuangalia Vipaji Binafsi vya Wachezaji, Basi Nimegundua Firmino Hakuna Uwezekano Wa Kuwa Complete Striker!
Walaza Hawezi Kufunga Goli zinazofika 20 ndani ya EPL Kwa Msimu Mmoja jambo ambalo ndiyo sifa ya Striker inapoanzia.
Firmino By nature Ni Midfielder, Kwahiyi Hata umchezeshe Striker basi atacheza Kimido.
Firmino Kumchezesha Kama Mamba 10 Ndiyo anaweza Kufiti Vizuri.
Lakini Ubora Wa Firmino Ni Kwamba Hata asipofunga Basi Anaoffer Vitu Vingi Zaidi kiasi ya Kwamba Kumkosa haiwezekani.

Kwahiyo Liverpool ndiyo Timu Kwenye EPL inayocheza bila Ya Striker
 
Nilikuwa nimeshamsahau mzee wa amsha amsha, mbiyo mbiyo.

Kuna watu kama Henderson nawashauri waanze kuzoea tu kukaa bench.

Henderson alikuwa Ana Advantage Ya Kucheza Baada Ya Fabinho Kuwa Bado Hajaanza Kuaminiwa Na Klopp.. Lakini Alivyokuwa Hana Bahati Kimeibuka Kiumbe Kinaitwa GINI ambacho Ni Underrated lakini Shughuli Yake Uwanjani Lazima Ulale Na Shin Guard!!!
Na mzee Milner Ni Kama Samaki Kila Akipea ndiyo Anazidi Kuwa imara.
 
Virgil van Dijk's game by numbers vs. Crystal Palace:

√ 100% tackles won
√ 92.4% pass accuracy
√ 91 touches
√ 10 successful long balls
√ 9 aerial duels won
√ 8 clearances
√ 2 tackles
√ 1 clean sheet

Dominant display.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom