Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Henderson alikuwa Ana Advantage Ya Kucheza Baada Ya Fabinho Kuwa Bado Hajaanza Kuaminiwa Na Klopp.. Lakini Alivyokuwa Hana Bahati Kimeibuka Kiumbe Kinaitwa GINI ambacho Ni Underrated lakini Shughuli Yake Uwanjani Lazima Ulale Na Shin Guard!!!
Na mzee Milner Ni Kama Samaki Kila Akipea ndiyo Anazidi Kuwa imara.

Hakuna kitu natamani kama kumwona Henderson anatumika kama back up, ni kati ya wachezaji ambao hawanipi hamasa ya kuwaangalia wakicheza.

VVD akipewa u-captain patanoga sana.
 
Man, spent the whole transfer window crying for a long term young CB to partner VVD this season, but My GOD, Gomez katokea wapi? sikuwahi hata kufikiria kama atakuja kumake it as a CB pale LFC, and honestly nilikuwa nafikiri Klopp will loan the kid out because tupo stacked kwenye eneo la fullbacks, oh i was so wrong man..

Lovren injury imekuwa blessing man, i mean i dont want to be carried away as we are just into two games of the league, but perfomance kama ya jana ya Gomez inaonesha kuwa he's ready na anahitaji kupewa nafasi zaidi ili kuendelea kumature, he's only 22 and yes he will make some mistakes but am sure he's that long term young CB tuliyekuwa tukimlilia kila siku, and the only way ambayo ataendelea kuimprove ni kwa kuendelea kucheza week in, week out.

VVD will get a lot of praise for yday perfomance (deserved), but GOMEZ was outstanding, his best perfomance in LFC shirt, you cant just produce that kinda of display kwenye tough and loudest territory kama Selhurst Park na usipate nafasi ya kuendelea kuwepo kwenye back-line.
 
I like Salah, but i can see him going in the same C. Ronaldo route.

i know tumecheza games 2 tu, but you can clearly see kuwa anawaza abaout numbers (goals) tu, kwasasa, anawaza kuhusu kuifikisha record yake ya magoal last season, nilianza kuona hizi dalili baada ya msimu uliopita kuisha, aliposema kuwa "he came back kwenye EPL kwaajili ya kuprove critics (waliomuita flop akiwa chelsea) wrong, and i said to myself, well maybe he's right but......., and now anataka tu kufunga ili kuwaprove wale wanaosema kuwa hawezi tena kufunga 40 goals, and you can see hata his dribbling abilities zimekata, he's not helping at all kwenye ku-create chances, anakaa sana ndani ya box kusubiria mipira, amekuwa mzito sana kwenye counters (his main attribute), anavizia sana kwenye post now (these 2 games). anataka kuwa target man, sehemu ambazo Bobby anatakiwa kucover, yeye ndo anacover kama mtu wa mwisho (which is wrong).

akiendelea na mchezo huu, atafail sana, he's so talented and maybe anaweza kuscore a lot of goals but people will demand the old Salah (dribbling skills, pace, setting counters (goal la Mane jana), quick foot etc). C. Ronaldo changed his game play baada ya kwenda MADRID baada ya kuwa obsessed na magoal ili kushindana na Messi, alifanikiwa sana, but any football fan will tell you the Fergie's Ronaldo was the real deal, and thats how it should be, and again Klopp is not a fan of "target man", or "flat-bully Forwards", thats why he's sticking with Bobby as Number 9, and he had Lewandowski (can play anywhere kwenye front 3), and then bought Auba (and turned into a proper ST kutoka eneo la wing), and kwenye his first days at LFC he wanted Morata (well, he is not a target man pia and Sarri can get the best out of him this season).

Salah need to change his mind-set, hizi games zote mbili ameshindwa kuimpress kabisa, japokuwa kwenye games zote mbili ametoka na Assists mbili na goal moja, and i hope atarudi kwenye his on-self na kugundua kuwa he'll score more goals na kuwa more dangerous kama akiendelea na game play ile ile ya msimu uliopita ya kuenjoy football na his 2 buddies upfront, and whats more entertaining ni kuwa Klopp kawaongezea Naby.
 
Goli alilofunga Mane Mo Salah amepata nafasi 2 kama zile lakini nimembaini Kumbe Mo Salah si Mchezaji Wa Kaunta Coz Hana Mbio!
Unamkuta Yuko mbele lakini Kadri anavyokimbia basi yupo hapohapo mpaka Anafikwa na Beki...
Lakini Mane Alivyokimbia na Mpira ndiyo inavyotakiwa mtu Wa Kaunta awe na mbio kama zile.
Kwa maoni yangu jana Salah hakuwa fit kimchezo. Salah ana mbio kuliko mane. Kumbuka game ya msimu ulioisha dhidi ya Arsenal. Alikimbia toka kwenye box la penalt akifukuzwa na mabeki kibao na alikimbia na kufunga goal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klopp easing Fabinho slowly kwenye team, hope advisors wa Faby kina Deco watakuwa wanaelewa hili.

and kama angemuanzisha Faby jana, ingekuwa ni suicidal move, because hajawahi kucheza as a lone MF kwenye maisha yake yote ya mpira, he needs time to adjust, katika mfumo wa Klopp ni Attacking Players tu ambao huwa haiwahitaji muda sana wa kuwa eased, (Mane, Salah and now Naby etc walikuwa thrown strainght into the pitch), Ox alikuwa anacheza kama wingback at Arsenal, and wenger alikuwa anasita sana kumpa nafasi kwenye eneo la CAM, so kutoka kwenye position ya wingback mpaka CAM, ilikuwa inahitaji time kidogo na ndiyo maana Klopp alimpa muda Ox wa mazoezi zaidi.

Bakayoko is a good player, but Conte rushed him kwenye team, kutoka kwenye mikono ya attacking minded manager kama Jardim, mpaka kwa DF coach kama Conte tena kwenye 3-5-2, surely he needed time, but haikuipata na wala hakuwa eased taratibu, not blamimg Conte though, and now we have Fred, a very good young Mid, but Mou alishindwa kuelewa kuwa jamaa katoka league nyepesi ya Ukraune and he needed time to adjust, he's struggling a lot now, ni kwamba MFs hasa DMs huwa wanahitaji sana time ya kusettle kwasababu huwa ndiyo focal point ya team yeyote ile.

Jorginho, adapting well, but hajawa used na pace ya EPL, getting caught in possession a lot, but Kante is always there to calm things down, kitu kikubwa kinamchomsaidia sana Jorginho ni kuwa anaujua sana mpira wa Sarri (Sarri ball), so ni moja kati ya Mids ambao watawahi sana kuimaster EPL.

and i like the look of Arsenal's Matteo Guendouzi, anafanya makosa mengi na bado haijaiweza pace ya EPL, but he's always there for ball na ukichukulia kuwa ana miaka 19 tu, will be a very very very good player and he is safe under Emery, man, we have Grujic but tunachelewa sana kumpa nafasi, but nadhani Klopp ana plans za muda mrefu sana na Grujic, kwasababu alikuwa kabakiza mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake, na report zilikuwa zinasema alikuwa anagoma kusign new contract kabla hajaondoka kwa mkopo, but Klopp kapigana mpaka Grujic kasign a new contract, inaonekana bado yupo sana kwenye mipango ya Klopp. lets wait and see.
 
Virgil van Dijk & Joe Gomez vs Crystal Palace

9 aerial duels won
5 tackles won
3 interceptions
9 clearances
92% and 90% passing

Klopp bhana.
Screenshot_20180821-165139.jpg
1534859480168.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lovren aliumia wakati wa WC na for selfish reasons akaona asiitarifu Club kwa kuogopa kuwa itanunua CB mwingine, baada ya TW kufungwa kwa England, ndiyo akaiambia Club kuwa anaumwa, Club ikamfanyia scans na ikaonekana anatakiwa kuwa nje week 3 na zaidi.

but. kitu ambacho hakutegemea ni kijana wa miaka 22 ambaye yupo nae pale LFC tangu 2015 ndiye anayechukua nafasi yake now. Maisha ni mchezo wa ajabu sana.

and i really hope Gomez ataendelea kuimpress kila siku.
 
Klopp easing Fabinho slowly kwenye team, hope advisors wa Faby kina Deco watakuwa wanaelewa hili.

and kama angemuanzisha Faby jana, ingekuwa ni suicidal move, because hajawahi kucheza as a lone MF kwenye maisha yake yote ya mpira, he needs time to adjust, katika mfumo wa Klopp ni Attacking Players tu ambao huwa haiwahitaji muda sana wa kuwa eased, (Mane, Salah and now Naby etc walikuwa thrown strainght into the pitch), Ox alikuwa anacheza kama wingback at Arsenal, and wenger alikuwa anasita sana kumpa nafasi kwenye eneo la CAM, so kutoka kwenye position ya wingback mpaka CAM, ilikuwa inahitaji time kidogo na ndiyo maana Klopp alimpa muda Ox wa mazoezi zaidi.

Bakayoko is a good player, but Conte rushed him kwenye team, kutoka kwenye mikono ya attacking minded manager kama Jardim, mpaka kwa DF coach kama Conte tena kwenye 3-5-2, surely he needed time, but haikuipata na wala hakuwa eased taratibu, not blamimg Conte though, and now we have Fred, a very good young Mid, but Mou alishindwa kuelewa kuwa jamaa katoka league nyepesi ya Ukraune and he needed time to adjust, he's struggling a lot now, ni kwamba MFs hasa DMs huwa wanahitaji sana time ya kusettle kwasababu huwa ndiyo focal point ya team yeyote ile.

Jorginho, adapting well, but hajawa used na pace ya EPL, getting caught in possession a lot, but Kante is always there to calm things down, kitu kikubwa kinamchomsaidia sana Jorginho ni kuwa anaujua sana mpira wa Sarri (Sarri ball), so ni moja kati ya Mids ambao watawahi sana kuimaster EPL.

and i like the look of Arsenal's Matteo Guendouzi, anafanya makosa mengi na bado haijaiweza pace ya EPL, but he's always there for ball na ukichukulia kuwa ana miaka 19 tu, will be a very very very good player and he is safe under Emery, man, we have Grujic but tunachelewa sana kumpa nafasi, but nadhani Klopp ana plans za muda mrefu sana na Grujic, kwasababu alikuwa kabakiza mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake, na report zilikuwa zinasema alikuwa anagoma kusign new contract kabla hajaondoka kwa mkopo, but Klopp kapigana mpaka Grujic kasign a new contract, inaonekana bado yupo sana kwenye mipango ya Klopp. lets wait and see.

So Fekir ndio basi tena
 
i remember msimu uliopita tulienda Brighton na Wijnaldum alicheza kama CB, na kwenye middle alikuwepo holding EL CAPTAIN HENDO na kwenye goal alikuwepo Migs but we managed to smash them 5-1. but we're told Mourinho needed a good CB to beat Brighton.
 
Jana we witnessed a very interesting "Young Adam" Lallana cameo..

and he ended up giving a silly freekick nje kidogo ya box dakika za mwisho mwisho kabisa.

these stooges man..
 
Still think we will get him.

there's a reason kwanini alikataa kwenda Chelsea hours kabla ya dirisha kufungwa.

kwasasa naona itabidi tuweke mipango kwa kile tulichonacho..

Akija atacheza position gani? I think role yake ndio ya OX
 
Akija atacheza position gani? I think role yake ndio ya OX

he will play number 10 or false 9.

Ox main competitor ni Naby katika CAM role.

but last season kabla hajaumia Klopp alikuwa anamchezesha kama LCM hasa kwenye CL games, hiyo role anacheza Milner now.
 
he will play number 10 or false 9.

Ox main competitor ni Naby katika CAM role.

but last season kabla hajaumia Klopp alikuwa anamchezesha kama LCM hasa kwenye CL games, hiyo role anacheza Milner now.

Kwa hiyo atacompete na Bobby
 
Nilikuwa na hamu ya kumwona Fabinho, ngoja tuendelee kusubiri, muda utafika.
kabisa tunahitaji midfield inayo control mpira zaidi ya jana hivyo Klopp na timu yake ya makocha wana jukumu la kaharakisha Fabinho kuingia kikosini tuanze kuona Liverpool mpya ikichaja mbuga kwa ushndi mnono
 
Man, spent the whole transfer window crying for a long term young CB to partner VVD this season, but My GOD, Gomez katokea wapi? sikuwahi hata kufikiria kama atakuja kumake it as a CB pale LFC, and honestly nilikuwa nafikiri Klopp will loan the kid out because tupo stacked kwenye eneo la fullbacks, oh i was so wrong man..

Lovren injury imekuwa blessing man, i mean i dont want to be carried away as we are just into two games of the league, but perfomance kama ya jana ya Gomez inaonesha kuwa he's ready na anahitaji kupewa nafasi zaidi ili kuendelea kumature, he's only 22 and yes he will make some mistakes but am sure he's that long term young CB tuliyekuwa tukimlilia kila siku, and the only way ambayo ataendelea kuimprove ni kwa kuendelea kucheza week in, week out.

VVD will get a lot of praise for yday perfomance (deserved), but GOMEZ was outstanding, his best perfomance in LFC shirt, you cant just produce that kinda of display kwenye tough and loudest territory kama Selhurst Park na usipate nafasi ya kuendelea kuwepo kwenye back-line.
hii ndio nafasi yake Rodgers ndio alijaribu kummbadili na Klopp nae ila sasa Klopp akaja kujua ndogo ni mzito akicheza kama wingback ndio maana alivyopona wakaanza kumsuka kuja cheza sasa nafasi hii na kwa hizi mechi mbili hajatwangusha...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom