Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool 'not for sale' after reported £2bn bid
Habari kama hizi zitafanya wachezaji wasiwe wasikivu sababu hao waarabu wanatoa mpunga mrefu sana kwenye kandarasi!Wamekuja sasa wameona team imetulia?
Wasituvuruge hawa bana!

FSG Ni Wafanya Biashara Wazoefu na Wajanja Hawezi Kuiuza Timu Kwasasa Hata Siku Moja labda waletewe Crazy Bid.
Hii Timu inawaingia Hela Nyingi Sana Hasa Ukizingatia Kuwa Timu Nyingi Zikikosa Makombe Huwa Thamani Yao inashuka, Lakini FSG wao Timu ya Liverpool haibebi Kombe na Kila Mwaka wanaifanya iongezeke thamani.
Wameinunua Kwa thamani ya £300m tu! Lakini Leo thamani Yake Ni Zaidi ya £2bn.
FSG Ni kiboko ya Waendesha Timu! Sijui Liverpool ikija Kubeba Makombe wataifanya iwe na thamani Kiasi gani!!!!!.
 
Kwa hiyo atacompete na Bobby

wouldnt say compete, as Fekir is more of a playmaker and Firmino tayari kishakuwa turned into number 9 completely.

we dont have a playmaker now, hence Klopp is sticking to 433, which gives us a quick transition in counters because hatuna playmaker atakayetupa assurance ya kuhold mipira na kumaintain possession kwenye secured line ya opponent (eg. Man city and Spurs). our main strength katika kucreate chances and attacks ipo kwa full-backs kwenye hii formation ya 433, thats why we have the most attacking minded fullbacks in the league, ukifanikiwa kuwahold hawa fullbacks kutengeneza space basi unakuwa umeiua LFC (Zidane made it possible), kwasababu hatuna playmaker anaiweza kucreate spaces from deep areas, you can see it clearly baada ya CL final, Klopp alibid haraka sana kwa Fekir and he was ready to throw more than 50m for him, but unfortunately deal haikumature and Klopp hakuona mchezaji mwingine yeyote mwenye haiba ya Fekir kwenye Market, na kuamua kuendelea na 433, but you can see it he was planning kuanza msimu na the old fashioned system ya 4-2-3-1, Fabinho and Keita in the middle, Fekir, Mane Salah behind Bobby. the same formation ambayo ilimpa mafanikio makubwa sana Dortmund.

433 pia ni very good option kuitumia, hasa kwa kuzingatia Pace ya team tuliyonayo.

nathubutu kusema kuwa, kwasasa LFC ni firm title contenders (and we can somehow win the trophy kama tukiwa injury free na consistency kwa wachezaji muhimu) but kama tungempata Fekir tungekuwa ni TITLE FAVORITES.

But kwasasa we should concetrate na kile tulichonacho mpaka pale TW itakapofunguliwa, lets enjoy the ride.
 
hii ndio nafasi yake Rodgers ndio alijaribu kummbadili na Klopp nae ila sasa Klopp akaja kujua ndogo ni mzito akicheza kama wingback ndio maana alivyopona wakaanza kumsuka kuja cheza sasa nafasi hii na kwa hizi mechi mbili hajatwangusha...

Guess your prayers have been answered Aisee, naona umempata a young and complete CB uliyekuwa ukimuhitaji,

ni bado mapema sana kumjudge, but for a young kid kufanikiwa kuwashut down kina Arnautovic, Benteke, Zaha etc kwenye space ya one week.

the signs are there, he just need to play regularly.
 
During last summer TW I read somewhere Klopp saying that there is no CB in the market who can do what Joe Gomez can’t do.....

I hardly struggled to understand him.....

But,through the last two games I have got what Klopp meant back in the days!


By the way....Naamini Naby Keita will be a real deal at LFC

That young man is a fu*****ng brilliant!

Superb ball controlling techniques....

hahahahhahaha

kitu kinachoniumiza ni kuwa Naby Keita anapata a lot of praise (highly deserved) but ndo kwanza hajafikia hata 50% ya kiwango chake, bro that man ni very very very very good player. and most people dont know kuwa he's playing out of his preferred position, Naby huwa mzuri sana akiwa anacheza kutokea Katikati, lakini hizi games mbili zote amecheza kama RCM, anaotekea wide kabisa katika ile mid-3 ya kwake Gini na Milner (LCM), lakini shughuli yake si mchezo Aisee, imemchukua games mbili tu kuwafunga midomo critics na uenducated pundits na watapata shock kubwa zaidi siku Klopp akimwambia atulie pale kati, hahaha. what a Signing man.

TOP PLAYER.
 
David Ngog! Duh! Jamaa sijui yuko wapi.
Wengine ni Ricky Lambert, Stewart Downing, Andy Carrol, Peter Crouch na Emiliano Insua

Peter Crouch was a very good player for us.

he played his part kila alipokuwa anapata nafasi and was very good option from the Bench.
 
images
View attachment 844969
View attachment 844971

Jonjo Shelvey is a good midfielder, one of the top 15 long balls merchants in the league.

main problem ni attitude.

he is not a stooge.
 
Yani Kuanzia Mwaka 1992 makocha Walikusudia Kuifanya Liverpool iwe sawa na Bolton! Hivi Hawa ndiyo Kweli Wachezaji Wa Kusaini utegemee Mafanikio?
Halafu Kulikuwa na Mpumbavu Mmoja Yule Damien Comolli Wakati Alikuwa Ni Sporting Director wetu basi Alikuwa akiokota tu Wachezaji na ndiyo Akatuletea Hao Kina Carroll, Jonjo, Maxi Rodriguez, Kyrgiakos na Dosena.
Yani baada Ya Kuja Huyu Michael Edwards basi Ni Starehe tu.

Damien Comolli, always huwa analaumiwa kwa makosa ya wazi ya Daglish, kwasababu Daglish ni LFC legend huwa anapata a free pass, but its a known fact kuwa Daglish ndiye aliyekuwa anataka British players kwenye team na siyo Comolli, reports are out there, Comolli wanted Gotze, Aguero, a young Aubameyang, Kagawa, Llorente etc but Daglish aliwakataa and insisted on British players ambayo ikaresult kwenye signings za kina Charlie Adams, Downing, Carrol, Henderson etc, and if any LFC fan remember it correctly Comolli was sacked baada ya FSG kutoridhishwa na signing ya Henderson, (the main reason for comolli's sack was because of Henderson signing), FSG felt kuwa walithrow 20m kwa mchezaji ambaye hakuwa na qualities za kutosha, and make no mistake about it was SG who saved Henderson career at LFC, because even Rodgers wanted to sell henderson to Fulham kwaajili ya kumpata Dempsey (its a known fact)

and the same Comolli alifanikiwa kusunction deal ya Suarez kwa 20m tu.

Michael Edwards, amefanikiwa kupull some good deals for the past two years, but he's no better than Comolli, the main man kwenye signings zote ilizofanya LFC ni Klopp, Edwards anachofanya ni kuexcute deals between the clubs, na tumeona kabisa deals kubwa huwa zinamshinda na FSG huwa wanamtuma Gordon, (rejea deals za VVD, kEITA NA FEKIR), i mean Edwards ameimprove na always nitampongeza kwa kufanikisha deals za Fabinho na Allison, but kama tunataka kumlaumu Comolli kwa blunders za Daglish, basi yatupasa tumlaumu Edwards kwa signings za kina Lallana, Lovren, Lambert, Balotelli, Benteke, Mignolet, Solanke, Ings Aly Cissokho, Markovic etc,

hawa WC players wote wanajoin LFC kwasababu ya Klopp, kama Klopp asingekuwepo LFC tungeendelea kushuhudia the same bobbins signings kutoka kwa kina Edwards, having said that, nakubali kuwa Edwards negotiations tactic zimemprove na hii ni kwasababu ya kufanya kazi na mtu anayejali sana qualities na asieendeshwa na mtu (Klopp).

Edwards only signing for LFC ni Solanke kwenye tenure ya Klopp. you can tell me more about Solanke, i will wait.
 
Leo naona umeongea kwa unyenyekevu mkuu. Umetofautiana na kina malafyale wanajiakikishia ubingwa kila msimu unapoanza. Mwisho wa siku wanabaki kunamisha kichwa chini. Kwa upande wangu naweza sema hizi timu 3. Mmoja Kati yao atanyanyua kwapa msimu huu....!!

Man City
Chelsea
Liverpool
Tusubiri msimu uishe tuone Nani atanyanyua kwapa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Chelsea can finish 2nd, because football is unpredictable sometimes.

but your defense is still a suspect, attacking teams hazitakuwa na tabu sana ku-unlock chelsea's defense.

Chelsea were better than Arsenal the other week, but kama Arsenal wangekuwa na concentration wangefunga goals hata 3-4 kwenye first half, Auba awful miss was part of it.

Sarri ball need a quality defense, kama Klopp gegen pressing ilivyokuwa inahitaji a strong defense unit.
 
Wonder if Klopp will throw Fabinho kwenye starting XI against Brighton, au ata-persist na same players.

Milner was bit out of his usual pace against Crystal, he's 32 so ni understandable.
 
Hivi klopp anasubiria nini kumpa ucaptain vvd? Maana mpaka sasa anasifazote wa kuwa captain kwenye timu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Klopp on Karius: "I didn't tell Karius what he wanted to hear, but how it is. The Champions League final had nothing to do with us getting Alisson. Even if we had won it and Alisson would have been on the market we would have still signed him."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom