Man, spent the whole transfer window crying for a long term young CB to partner VVD this season, but My GOD, Gomez katokea wapi? sikuwahi hata kufikiria kama atakuja kumake it as a CB pale LFC, and honestly nilikuwa nafikiri Klopp will loan the kid out because tupo stacked kwenye eneo la fullbacks, oh i was so wrong man..
Lovren injury imekuwa blessing man, i mean i dont want to be carried away as we are just into two games of the league, but perfomance kama ya jana ya Gomez inaonesha kuwa he's ready na anahitaji kupewa nafasi zaidi ili kuendelea kumature, he's only 22 and yes he will make some mistakes but am sure he's that long term young CB tuliyekuwa tukimlilia kila siku, and the only way ambayo ataendelea kuimprove ni kwa kuendelea kucheza week in, week out.
VVD will get a lot of praise for yday perfomance (deserved), but GOMEZ was outstanding, his best perfomance in LFC shirt, you cant just produce that kinda of display kwenye tough and loudest territory kama Selhurst Park na usipate nafasi ya kuendelea kuwepo kwenye back-line.