Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kibaya kingine ni jinsi waingereza wanavyowapamba na kuwaoverrate wachezaji wa kiingereza.
Angalia jinsi walivyompamba Jordan Henderson kwenye World Cup Russia!
Angalia walivyowapamba akina Dele, Lingard, Sterling na Maguire wakati wote ni wachezaji wa kawaida tu
 
Katika Maudhi niliyowahi Kuyashuhudia Hapa Liverpool Ni Kuona Kikosi Kikiwa na Striker Varonini, Balotelli, David Ngog na Benteke.

David Ngog! Duh! Jamaa sijui yuko wapi.
Wengine ni Ricky Lambert, Stewart Downing, Andy Carrol, Peter Crouch na Emiliano Insua
 
images
1535028785861.jpeg

1535028824546.jpeg
 

Yani Kuanzia Mwaka 1992 makocha Walikusudia Kuifanya Liverpool iwe sawa na Bolton! Hivi Hawa ndiyo Kweli Wachezaji Wa Kusaini utegemee Mafanikio?
Halafu Kulikuwa na Mpumbavu Mmoja Yule Damien Comolli Wakati Alikuwa Ni Sporting Director wetu basi Alikuwa akiokota tu Wachezaji na ndiyo Akatuletea Hao Kina Carroll, Jonjo, Maxi Rodriguez, Kyrgiakos na Dosena.
Yani baada Ya Kuja Huyu Michael Edwards basi Ni Starehe tu.
 
Yani Kuanzia Mwaka 1992 makocha Walikusudia Kuifanya Liverpool iwe sawa na Bolton! Hivi Hawa ndiyo Kweli Wachezaji Wa Kusaini utegemee Mafanikio?
Halafu Kulikuwa na Mpumbavu Mmoja Yule Damien Comolli Wakati Alikuwa Ni Sporting Director wetu basi Alikuwa akiokota tu Wachezaji na ndiyo Akatuletea Hao Kina Carroll, Jonjo, Maxi Rodriguez, Kyrgiakos na Dosena.
Yani baada Ya Kuja Huyu Michael Edwards basi Ni Starehe tu.

Antonio Comoli ndio kama Ed kule OT
 
kopps tushukru kwa huyu sporting director mpya na sajir zinazofanyka toka apewe kijit.... Kufeli kwa Liverpool kulianzia kwenye scouting..... Na nimaajabu Tim ilifanya vizur kubakia hata top four.... Sahiz hata tusipochukua lakin heshima itakuwepo


Yaan tulikuwa tunasajir hata wachezaji 5 lakin wapinzani hata kusutuka wapi.... SG alibeba msarab
 
Yani Kuanzia Alipoanza Kukamata Timu Roy Hogson, Dalglish na Rodgers Basi Wachezaji Wao Wote Waliowasajili Ni Wawili tu Ndiyo Naweza Kuwarate Kama Wachezaji na Ndiyo Wanaoweza Kucheza Katika Kikosi Hichi Cha Klopp.
Nao Ni Suarez na Firmino... Ukitoa Hawa Wawili Basi Waliobakia Wote Ni Magarasa Ya Kucheza Simba na Yanga! Yani Mtu anatuliza Akili ikisha anatuletea Striker Lambert??????
 
Yani Kuanzia Alipoanza Kukamata Timu Roy Hogson, Dalglish na Rodgers Basi Wachezaji Wao Wote Waliowasajili Ni Wawili tu Ndiyo Naweza Kuwarate Kama Wachezaji na Ndiyo Wanaoweza Kucheza Katika Kikosi Hichi Cha Klopp.
Nao Ni Suarez na Firmino... Ukitoa Hawa Wawili Basi Waliobakia Wote Ni Magarasa Ya Kucheza Simba na Yanga! Yani Mtu anaruliza Akili ikisha anatuletea Striker Lambert??????

Hata kikosi cha kina Suarez, Sterling, Dan Sturridge hakikuwa cha uhakika sana, unaangalia game kwa wenge sana.

Suarez aliibeba sana ile timu wakisaidiana na Gerrard.
 
Wewe ukishamaliza mbwembwe zako Utakaa Kimya Coz Kile Kigenge Chenu Na Msimu ujao Mutacheza Uropa nawahakikishia Subiri ligi ichanganye tu Mutaanza Kulia na Sarri.
Wewe umekua na Klop misimu mingapi???
Kwanza Sarri ndiyo kaanza ligi ya uingereza Hana uzoefu wowote lakini amejaribu kuonesha uhai.
Sarri ana wiki mbili kwenye ligi
Klop ana miaka mingapi kwenye ligi?

Acha Sarri atengeneze vijana watupe burudani sie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Kwamba Sijiamimi Mkuu!
Mimi siamini Utabiri! Kwahiyo Si mtu Wa Kutangaza Kushinda Game kabla sijaicheza! Ninakiamini Mimi Ni Kile Kinachotokea Baada Ya Dakika 90 au 120.
Na ndiyomana Mimi Hata Siku moja Hunikuti Kutangaza Kuchukua Kombe Kabla Ya Ligi haijaanza.

Na Ninachoamini Mimi Ni Kwamba Mtu yeyote unayemsika anasema na Kujihakikishia Kuwa Msimu huu atabeba Kombe Kwenye Timu Yake basi Huyo Hajui Mpira. Kwasababu yeye Ni sawa na Mganga Wa Kienyeji tu na Ndiyomana haangalii Kuwa Mpira Ni Mchezo Wa Mahasebu, Makosa, Uimara Wa Timu, Mbinu, Fitness na Utayari. Factor moja tu Kati ya Hizo inaweza Kukunyima Ubingwa Hata Kama Una Kikosi Bora Kiasi gani.

Mtu anaejua Mpira Maranyingi Husema Msimu huu Nina matumaini Ya Kubeba Ubingwa... Na Sio Kujihakikishia Kuwa lazima Ataubeba kama wanavyosema baadhi ya Watu utafikiria Matokeo ya Mchezoni wanayapanga wao.

Mimi Ni Mshabiki Wa Liverpool lakini Kama Mshabiki Wa Mpira basi Msimu huu Naipa Nafasi Man City ya Kubeba Ubingwa Wa EPL... Lakini Sisemi Kuwa Lazima itabeba Bali naipa nafasi tu Kutokana na Uimara Wa Timu Yao. Kwani Kama Nilivyotaja Hapo juu zipo Factors ambazo zinaweza Kumkosesha Ubingwa.
Leo naona umeongea kwa unyenyekevu mkuu. Umetofautiana na kina malafyale wanajiakikishia ubingwa kila msimu unapoanza. Mwisho wa siku wanabaki kunamisha kichwa chini. Kwa upande wangu naweza sema hizi timu 3. Mmoja Kati yao atanyanyua kwapa msimu huu....!!

Man City
Chelsea
Liverpool
Tusubiri msimu uishe tuone Nani atanyanyua kwapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumetoka mbali sana mkuu! At some point the situation at the club was so hopeless and grim to say the least.
Imagine eti Rafa was sacked na yule babu wa Crystal Palace - Roy akawa appointed. Akawasajili akina Jonjo
Hakukaa sana akatimuliwa akaja King Kenny na uzee wake akasajili mauzauza ya akina Charley Adams!! Alichofanya poa ni kumleta Suarez tu
Kuna yule mgiriki mmoja alisajiliwa kama beki wa kati, kilikuwa kioja ! Jina silikumbuki, ila ni moja ya watuwalionikera sana. At least yule mreno mwenye tattoo nyingi !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna yule mgiriki mmoja alisajiliwa kama beki wa kati, kilikuwa kioja ! Jina silikumbuki, ila ni moja ya watuwalionikera sana. At least yule mreno mwenye tattoo nyingi !

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha
Satirios Kyrgiakos
Hata Leeds hawezi anza lkn akaja Liverpool tena akiumwa tunatetemeka,kweli tumetoka mbali sana jamani!
Thank Americano,Thank you Klopp
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom