King Ngwaba, game ya leo ilikuwa nzuri na Liverpool walistahili huu ushindi sababu wamecheza vizuri dhidi ya timu ngumu na iliyokuwa ikihitaji ushindi au angalao point.Klopp hapa anastahili pongezi na kwa maoni yangu hii ya kumtaka aiache Liverpool si kumtendea haki.

Bado tupo kwenye kinyanganyiro cha top 4. Anastahili credits kwa kweli. Hasa ukiangalia aina ya wachezaji alionao. Wachezaji ambao wana hadhi ya kuvaa uzi wa Liverpool kwa sasa hawazidi wa5. Mimi labda nimlaumu kwa swala la usajili. Liverpool hatuna scouts wa zuri wa kuweza kumsaidia kupata wachezaji vijana na ambao ni world class player.
 
Mane
Coutinho
Firmino
Lalana

The rest must be sold
 
b06f52063a8ed48d98eb986c2aeb7645.jpg

Robin Klopp and his Merry Redmen, who steal 3 points from the Premier League's rich, and give them away to the poor ️️️
 
King Ngwaba, game ya leo ilikuwa nzuri na Liverpool walistahili huu ushindi sababu wamecheza vizuri dhidi ya timu ngumu na iliyokuwa ikihitaji ushindi au angalao point.Klopp hapa anastahili pongezi na kwa maoni yangu hii ya kumtaka aiache Liverpool si kumtendea haki.

Bado tupo kwenye kinyanganyiro cha top 4. Anastahili credits kwa kweli. Hasa ukiangalia aina ya wachezaji alionao. Wachezaji ambao wana hadhi ya kuvaa uzi wa Liverpool kwa sasa hawazidi wa5. Mimi labda nimlaumu kwa swala la usajili. Liverpool hatuna scouts wa zuri wa kuweza kumsaidia kupata wachezaji vijana na ambao ni world class player.

Mkuu Hapa Ndiyo Ninaposema "KLOPP IS GENIUS" coz anajua Kucheza na Akili za Mashabiki wa Liverpool....
Anapocheza na Timu Kubwa Mara Nyingi Formation Yake inafanya Kazi Coz Hazipaki Basi... Lakini Anapocheza na Vibonde Vikipaki Basi tu Formation Yake Haifanyi Kazi na hana Plan B..
Na anajua Wazi Kuwa Akiifunga Timu Kubwa atatuliza pressure za Mashabiki walio na Hasira Dhidi ya Kiwango kibovu cha Timu Yao...
Mkuu Usihadalike Na Ushindi wa Jana Wa Kukamia Timu Kubwa... Timu Yetu Bado Sana Kwa Ushindani...
Hile Ya Jana ni "FALSE PERFORMANCE" na kama huamini subiri tukicheza na kibonde uone tutakavyodondokea pua.
 
Ingelikuwa sheria inaruhusu ningeliomba Nruhusa Nikamtukana Huyu Klopp! Anajifanya Kukomaa Na Timu Kubwa Halafu Analiwa Na Vibonde......
[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG] Sisi Hatubabaishwi na Matokeo Ya Arsenal na False Performance Zako Za Kukamia Mechi Kubwa utafikiria Ligi ina Timu sita tu kama ukizishinda ndio utakua Bingwa......

Inabore sana aisee high temper ya game ya Jana ilikuwa superb kabisa hata kuona pengo LA captain Hendo ilikuwa shida kila kwa Leicester tulichezea kiajabu ingawa nilimskia kwenye press akidai kuwa inconsistence is a party of development in building a great team
 
King Ngwaba, game ya leo ilikuwa nzuri na Liverpool walistahili huu ushindi sababu wamecheza vizuri dhidi ya timu ngumu na iliyokuwa ikihitaji ushindi au angalao point.Klopp hapa anastahili pongezi na kwa maoni yangu hii ya kumtaka aiache Liverpool si kumtendea haki.

Bado tupo kwenye kinyanganyiro cha top 4. Anastahili credits kwa kweli. Hasa ukiangalia aina ya wachezaji alionao. Wachezaji ambao wana hadhi ya kuvaa uzi wa Liverpool kwa sasa hawazidi wa5. Mimi labda nimlaumu kwa swala la usajili. Liverpool hatuna scouts wa zuri wa kuweza kumsaidia kupata wachezaji vijana na ambao ni world class player.
Kwa upande wangu siwezi kumlaumu moja kwa moja klopp falsafa za Ian zilichangia sana kuishusha timu yetu naona rumours nyingi juu ya Alexander Laccazande,Keita kuna wanaweza kuja summer hii na FSG wako tayari kutoa euro mil 70 kwa wote wawili lakini bado hatujapata CD wa calibre ya EPL hii itatutesa kwa msimu mzimu Klavan bado anapungukiwa vitu vidogo
 
King Ngwaba, game ya leo ilikuwa nzuri na Liverpool walistahili huu ushindi sababu wamecheza vizuri dhidi ya timu ngumu na iliyokuwa ikihitaji ushindi au angalao point.Klopp hapa anastahili pongezi na kwa maoni yangu hii ya kumtaka aiache Liverpool si kumtendea haki.

Bado tupo kwenye kinyanganyiro cha top 4. Anastahili credits kwa kweli. Hasa ukiangalia aina ya wachezaji alionao. Wachezaji ambao wana hadhi ya kuvaa uzi wa Liverpool kwa sasa hawazidi wa5. Mimi labda nimlaumu kwa swala la usajili. Liverpool hatuna scouts wa zuri wa kuweza kumsaidia kupata wachezaji vijana na ambao ni world class player.
Mechi ijayo Burnley anakutoa jasho
 
Klopp: "This is a long term project, I can't understand why people lose patience. Long term projects have inconsistency."

Antonio Conte landed at Stanford bridge in less than a year and the rest is history
Why not Klopp, who has been at Anfield for 2 years now?
 
The reality is Most Liver-Fanboys fooled by Yesterday's False Performance........
Kiukweli Performance Ya Jana Tuisahau Hasa Kurejea Tena Kwa Game Zilizobakia.....
Ni Kawaida Ya Klopp anapocheza Na Timu Kubwa tu kujifanya Anakamia Mechi....
Lakini akikutana na Vibonde Analeta Visingizio Tele....
 
Malafyale na wana Liverpool wote hongereni sana kwa ushindi wentu wa jana,
Lwa kweli mmepigana sana na kama kawaida yetu hampotezi mechi na bigteam nyie mmnakuwa legelege kwa wakina Leicester city nk
Pili hongereni kwa kuikataa kwa nguvu nafasi ya sita ambayo Man U alikuwa anatafuta kuwauzia, komaeni sasa msifungwe na timu za chini na mkae mkijua Man anawatafuta
 
THIS IS INSANE: Klopp's record against Chelsea, Spurs, City, Everton, UTD and Arsenal in Premier League since becoming Liverpool manager

WINS: 10
DRAWS: 7
DEFEATS: 1 (By United)

He killed Lions, And Get Killed by Rabbits..
 
Jürgen Klopp is the first Liverpool manager to complete a league double over Arsenal since Gerard Houllier in the 1999/2000.

Loves the Premier League big games.
 
King Ngwaba, game ya leo ilikuwa nzuri na Liverpool walistahili huu ushindi sababu wamecheza vizuri dhidi ya timu ngumu na iliyokuwa ikihitaji ushindi au angalao point.Klopp hapa anastahili pongezi na kwa maoni yangu hii ya kumtaka aiache Liverpool si kumtendea haki.

Bado tupo kwenye kinyanganyiro cha top 4. Anastahili credits kwa kweli. Hasa ukiangalia aina ya wachezaji alionao. Wachezaji ambao wana hadhi ya kuvaa uzi wa Liverpool kwa sasa hawazidi wa5. Mimi labda nimlaumu kwa swala la usajili. Liverpool hatuna scouts wa zuri wa kuweza kumsaidia kupata wachezaji vijana na ambao ni world class player.
Wachezaji wenye hadhi ya kuvaa uzi wa Liverpool ndio wapi?

Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom