Zorc anatia ngumu yule ni inspiration kwa wao wakienda summer tour uko USA wanalenga pesa sijui kama watamwachiaLuna MTU anaitwa Ivan perisic. Liverpool tungempata kijana yule. Hatari sana
Malafyale na wana Liverpool wote hongereni sana kwa ushindi wentu wa jana,
Lwa kweli mmepigana sana na kama kawaida yetu hampotezi mechi na bigteam nyie mmnakuwa legelege kwa wakina Leicester city nk
Pili hongereni kwa kuikataa kwa nguvu nafasi ya sita ambayo Man U alikuwa anatafuta kuwauzia, komaeni sasa msifungwe na timu za chini na mkae mkijua Man anawatafuta
Ujue Liverpool ni club kubwa barani ulaya,kama ilivyo real Madrid, bayern na hata juventus. Aina ya wachezaji wanaochezea hivyo vilabu nilivyovitaja ndio wanaotakiwa kuvaa jersey ya Liverpool.Wachezaji wenye hadhi ya kuvaa uzi wa Liverpool ndio wapi?
Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
Acheni kujidanganya nyie, Liverpool na bayern, juve, madrid wapi na wapi? Nyie kwa sasa hamna tofauti na Ajax, Milan, deportivo LA coruna hizo ndio level zenu, mnabebwa na historia na si kitu kingine.Ujue Liverpool ni club kubwa barani ulaya,kama ilivyo real Madrid, bayern na hata juventus. Aina ya wachezaji wanaochezea hivyo vilabu nilivyovitaja ndio wanaotakiwa kuvaa jersey ya Liverpool.
Hawa tulionao kwa sasa ni magarasa tu,so tunahitaji kukifanyia overhaul kikosi chetu ili kiweze kushindana na vilabu vikubwa vya ulaya. Nadhani kama tutafanikiwa kucheza ucl msimu ujao basi tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kusajili wachezaji ambao ni world class.
Klopp bado mimi namuunga mkono kwa matokea aliyopata ukilinganisha na ubora wa kikosi chake na timu kama chelsea, Man city, Spurs, united na Arsenal.
1.Hivi unaifahamu philosophy ya wamiliki wa Liverpool (FSG) ?Ujue Liverpool ni club kubwa barani ulaya,kama ilivyo real Madrid, bayern na hata juventus. Aina ya wachezaji wanaochezea hivyo vilabu nilivyovitaja ndio wanaotakiwa kuvaa jersey ya Liverpool.
Hawa tulionao kwa sasa ni magarasa tu,so tunahitaji kukifanyia overhaul kikosi chetu ili kiweze kushindana na vilabu vikubwa vya ulaya. Nadhani kama tutafanikiwa kucheza ucl msimu ujao basi tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kusajili wachezaji ambao ni world class.
Klopp bado mimi namuunga mkono kwa matokea aliyopata ukilinganisha na ubora wa kikosi chake na timu kama chelsea, Man city, Spurs, united na Arsenal.
Ujue Liverpool ni club kubwa barani ulaya,kama ilivyo real Madrid, bayern na hata juventus. Aina ya wachezaji wanaochezea hivyo vilabu nilivyovitaja ndio wanaotakiwa kuvaa jersey ya Liverpool.
Hawa tulionao kwa sasa ni magarasa tu,so tunahitaji kukifanyia overhaul kikosi chetu ili kiweze kushindana na vilabu vikubwa vya ulaya. Nadhani kama tutafanikiwa kucheza ucl msimu ujao basi tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kusajili wachezaji ambao ni world class.
Klopp bado mimi namuunga mkono kwa matokea aliyopata ukilinganisha na ubora wa kikosi chake na timu kama chelsea, Man city, Spurs, united na Arsenal.
Tunashukuru umekubali kua ni timu kubwa inayobebwa na historia.endelea kushabikia arsenal inayobebwa na geography.mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyeweAcheni kujidanganya nyie, Liverpool na bayern, juve, madrid wapi na wapi? Nyie kwa sasa hamna tofauti na Ajax, Milan, deportivo LA coruna hizo ndio level zenu, mnabebwa na historia na si kitu kingine.
Ibrahimovic, mkhitaryan, pogba, BFS, martial, wote hawa wamesajiliwa na man u wakati hawachezi champion league, wakati nyie mmeshindwa hata kuwavutia akina gotze.
Ifike hatua mmkubaliane na ukweli kwamba you are no longer a big club, hakuna mchezaji mwenye jina kubwa anaetamani kuchezea timu yenu kwa sasa, Acheni kujipa false hope you looser
Unajua kusoma wewe au umekurupuka tu kujibu, Kuna sehemu nimesema ni timu kubwa?Tunashukuru umekubali kua ni timu kubwa inayobebwa na historia.endelea kushabikia arsenal inayobebwa na geography.mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe
Acha ushabiki maandazi.huijui arsenal??we wa ajabu kweli.ni timu ya mpira iko ligi kuu uingereza.ni moja ta timu kubwa kule.manchster,lvpool,aseno,chelseaa........ Ndo timu kubwa england.au dharau tuu??Unajua kusoma wewe au umekurupuka tu kujibu, Kuna sehemu nimesema ni timu kubwa?
Arsenal? Ndio nini hicho?
Aah wewe Legeza mwendo unapotaja vilabu vikubwa barani ulaya liverpool haipo? Acha bhana, Liverpool ni club kubwa na wachezaji kibao tu wa kutoka ndani na nje ya uingereza kwa % kubwa wana ndoto za kuvaa uzi wa Liverpool au Manchester United.Acheni kujidanganya nyie, Liverpool na bayern, juve, madrid wapi na wapi? Nyie kwa sasa hamna tofauti na Ajax, Milan, deportivo LA coruna hizo ndio level zenu, mnabebwa na historia na si kitu kingine.
Ibrahimovic, mkhitaryan, pogba, BFS, martial, wote hawa wamesajiliwa na man u wakati hawachezi champion league, wakati nyie mmeshindwa hata kuwavutia akina gotze.
Ifike hatua mmkubaliane na ukweli kwamba you are no longer a big club, hakuna mchezaji mwenye jina kubwa anaetamani kuchezea timu yenu kwa sasa, Acheni kujipa false hope you looser
Hebu Rudia... Sijakusikia vizuriLiverpunga hahahaha Liverpunga hahahaha Liverpunga hahahahaha ...bado wiki ijayo babu Wenger anawaweka tena![]()
![]()
najua liver haina history ya kumfunga Arsenal aahahaha ...labda mjikaze mpate droo; timu mbovu sanaa
Philosophy ya kina (FSG)mimi sijui ila nachojua jamaa wapo kibiashara. Na malengo ya biashara ni kupata faida na ili upate faida lazima uwekeze na hapa ndio panatakiwa kufanyiwa kazi. Kwa maana ya kununua wachezaji ambao watailetea Liverpool mafanikio ambayo ni vikombe.1.Hivi unaifahamu philosophy ya wamiliki wa Liverpool (FSG) ?
2.Hao wachezaji wakubwa kama Madrid,Juventus,Bayern mnazo hela za kuwanunua ?
3.Juventus,Bayern mafanikio yao yanawasaidia kuwashawishi wachezaji wajiunge nao,miaka ya karibuni mna mafanikio gani kuwashawishi wachezaji ?
4. Klopp still anapaswa kulaumiwa kwa yanayotokea leo,huu ni msimu wake wa pili aliikuta defence ya Liverpool ni mbovu na hadi leo ni mbovu kama alivyoikuta.Kamuondoa Sakho anamchezesha Lucas CB,Sakho amecheza game 2 tangu atue C.Palace wameshinda mechi zote na hawajaruhusu goli hizo mechi
Tatizo mna haraka... Mpira wa kibiashara is not only about winning... This is a long term project.... Kurudisha liver sehemu yake... Mwenye haraka aende Leicester. Sisi tupo.tulipotembea ni pakubwa pamebaki padogo tu. Haaail Klopp!!!King Ngwaba, game ya leo ilikuwa nzuri na Liverpool walistahili huu ushindi sababu wamecheza vizuri dhidi ya timu ngumu na iliyokuwa ikihitaji ushindi au angalao point.Klopp hapa anastahili pongezi na kwa maoni yangu hii ya kumtaka aiache Liverpool si kumtendea haki.
Bado tupo kwenye kinyanganyiro cha top 4. Anastahili credits kwa kweli. Hasa ukiangalia aina ya wachezaji alionao. Wachezaji ambao wana hadhi ya kuvaa uzi wa Liverpool kwa sasa hawazidi wa5. Mimi labda nimlaumu kwa swala la usajili. Liverpool hatuna scouts wa zuri wa kuweza kumsaidia kupata wachezaji vijana na ambao ni world class player.
Wakuuzwa wapo... Sturridge Lucas can etcHamna wa kuuzwa bali tuongeze nguvu tu!
Angalia aina ya wachezaji aliowarithi.... Tatizo la Chelsea ilikuwa sio timu... Walikuwa kwenye kumkomoa morinhoAntonio Conte landed at Stanford bridge in less than a year and the rest is history
Why not Klopp, who has been at Anfield for 2 years now?
1.Ungesoma makala ungeelewa philosophy yao at least tungeelewana,hawanunui WC players wananunua promising & young players (Origi,Coutino,Firmino,Karius,Can) wakifanya vizuri akija mteja mwenye hela nzuri anauzwa (Sterling,Suarez),Philosophy ya kina (FSG)mimi sijui ila nachojua jamaa wapo kibiashara. Na malengo ya biashara ni kupata faida na ili upate faida lazima uwekeze na hapa ndio panatakiwa kufanyiwa kazi. Kwa maana ya kununua wachezaji ambao watailetea Liverpool mafanikio ambayo ni vikombe.
Wachezaji wenye majina makubwa uwezo wa kuwashawishi na kuwasajili tunao. Ref Luis Suarez, Fernando Torres, Xavi Allonso, Luis Garcia Javie Mascherano na hata kina Pepe Reina. Ila hapa hatutakiwi kuangalia majina, tunapaswa kutafuta wachezaji wenye ubora na viwango na wanapatikana kila kona ya hii dunia labda huko india ndio hawapo. Kwani Coutinho kabla ya kuja Liverpool alikuwa na jina? Mane kabla ya kwenda soton alikuwa na jina? Martial kabla ya kuja United alikuwa na jina? Hata Wanyama kabla ya kwenda soton alikuwa na jina? Lakini hawa jamaa wewe unawaonaje? Wakali au gharasa?
Klopp kumchezesha Lucas kama CD hii sishangai. Unajua mchezaji kama Adra Turan anafit nafasi yoyote ile isipokuwa pale golini. Ukiwa una experience ya kucheza kama DM ujue hata kucheza kama CD unakipiga tu. Ref ni Javie Mascherano, pale Liverpool alikuwa DM lakini kwa sasa ni mikoba pale bragulana.
Philosophy ya kina (FSG)mimi sijui ila nachojua jamaa wapo kibiashara. Na malengo ya biashara ni kupata faida na ili upate faida lazima uwekeze na hapa ndio panatakiwa kufanyiwa kazi. Kwa maana ya kununua wachezaji ambao watailetea Liverpool mafanikio ambayo ni vikombe.