masijala
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 280
- 425
Kulikua na Vita ya kurushiana maneno iliyosababishwa na hii Jersey Kati ya Danny Simpson, G. Neville na caragher, Simpson akatwit "hata Siku moja sitegemei kumuona Neville kavaa Jersey ya mazoezi ya man city" Basi caragher povu likamtoka balaaOh oh!!
Mkuu duuh unauaTatizo moyes alishindwa kuvumiliwa kwasababu timu ilikuwa imetoka kuwa mabingwa, na pia alisababisha record nyingi sana kufutwa ndo maana alichukiwa, ila sasa huyu klopp ameletwa kuikwamua team lakini anaonekana kuvurunda sio kawaida!!
Mm nawasakama liverpool kwasababu wanataka vitu ambavyo kwa sasa sio size yao kabisa bora watulie tuu.
Makocha wanaowaleta wanamitazamo inayofanana hasa katika usajili wanafanya blunder tuu
Unaacha debrune unachukua firminho, hata kujaribu tuu kumsajili hakuna.
Unashangaa diego costa kaenda chelsea wakati alikuwa anakiwa aende liverpool badala yake analetwa balloteli
Unaleta fullback moreno wakati epl wapo namba 3 wazuri kuliko hata huyo tena bei rahisi tuu
Unamsajili milner ambae wenzako wameona hatoshelezi unaacha mikhtarian!!!!
Unasajili matip wakati kuna wapiga mkoba lukuki EPL na championship ambao ni wazuri tuu, mfano williams wa swansea aliyeenda everton
Hapa ndo funga kazi, unamundoa sakho halafu hausajili then unamchezesha lucas CB mtu mfupi, kazeeka end then what do you expect!!! Huyo clavan hadi leo hajazoea ligi!!
Halafu hicho kikosi kina makinda wengi mnoo ambao hawawezi kukupa suluhisho unapokua katika crisis maana hauwachezeshi mara kwa mara halafu si ajabu nao karibia wote ni mediocre![]()
![]()
![]()
kama hamna kinda anaeweza kutishia amani eneo la midfield au foward unadhani kuna mafundi sasa hapo??!! Just mediocre
Ila huu mwaka accademy yenu iko vizuri huenda mkapata fundi kwa next seasons
Unaleta falsafa ya kusajili vitoto ili upate ubingwa wa EPL kama ulivyofanya Dortmund.....hii kitu itawagharimu sana ni ranieri tu aliweza fanya hili...without classic player ubingwa wa EPL mtausikia kwa wenzenu tu........na nasikia mna madeni huko standard chartered hamuwezi sajili mpaka muuzeTatizo moyes alishindwa kuvumiliwa kwasababu timu ilikuwa imetoka kuwa mabingwa, na pia alisababisha record nyingi sana kufutwa ndo maana alichukiwa, ila sasa huyu klopp ameletwa kuikwamua team lakini anaonekana kuvurunda sio kawaida!!
Mm nawasakama liverpool kwasababu wanataka vitu ambavyo kwa sasa sio size yao kabisa bora watulie tuu.
Makocha wanaowaleta wanamitazamo inayofanana hasa katika usajili wanafanya blunder tuu
Unaacha debrune unachukua firminho, hata kujaribu tuu kumsajili hakuna.
Unashangaa diego costa kaenda chelsea wakati alikuwa anakiwa aende liverpool badala yake analetwa balloteli
Unaleta fullback moreno wakati epl wapo namba 3 wazuri kuliko hata huyo tena bei rahisi tuu
Unamsajili milner ambae wenzako wameona hatoshelezi unaacha mikhtarian!!!!
Unasajili matip wakati kuna wapiga mkoba lukuki EPL na championship ambao ni wazuri tuu, mfano williams wa swansea aliyeenda everton
Hapa ndo funga kazi, unamundoa sakho halafu hausajili then unamchezesha lucas CB mtu mfupi, kazeeka end then what do you expect!!! Huyo clavan hadi leo hajazoea ligi!!
Halafu hicho kikosi kina makinda wengi mnoo ambao hawawezi kukupa suluhisho unapokua katika crisis maana hauwachezeshi mara kwa mara halafu si ajabu nao karibia wote ni mediocre![]()
![]()
![]()
kama hamna kinda anaeweza kutishia amani eneo la midfield au foward unadhani kuna mafundi sasa hapo??!! Just mediocre
Ila huu mwaka accademy yenu iko vizuri huenda mkapata fundi kwa next seasons

Unaleta falsafa ya kusajili vitoto ili upate ubingwa wa EPL kama ulivyofanya Dortmund.....hii kitu itawagharimu sana ni ranieri tu aliweza fanya hili...without classic player ubingwa wa EPL mtausikia kwa wenzenu tu........na nasikia mna madeni huko standard chartered hamuwezi sajili mpaka muuze![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
wafanye kutuliza mshono wasitupigie keleleUnajua legend unapokua na kidomo domo sana watu wanakuchoka then wanakuaibisha, kama kuna kipindi thiery henry alikuwa anachonga sana kidogo wenger amtolee uvivu akaamua kumstahi, amepata kazi ya ukocha ubelgiji ametulia. Bado hao caragher na mwenzake wanaongea too much hata kama ni uchambuzi wamezidishaKulikua na Vita ya kurushiana maneno iliyosababishwa na hii Jersey Kati ya Danny Simpson, G. Neville na caragher, Simpson akatwit "hata Siku moja sitegemei kumuona Neville kavaa Jersey ya mazoezi ya man city" Basi caragher povu likamtoka balaa
Oh oh!!
Uko nchi gani mkuu?? Hebu cheki vizuri ratiba au ndo wasiwasi!!1900hrs
Aha ok nlichek vibaya n 20:30 niko time ya east africa sorrUko nchi gani mkuu?? Hebu cheki vizuri ratiba au ndo wasiwasi!!
Sina was was liver anakufa tuu.. Kama kawaidaAha ok nlichek vibaya n 20:30 niko time ya east africa sorr

Sina was was liver anakufa tuu.. Kama kawaida