Legeza mwendo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 519
- 655
072 hizo timu ulizozitaja ni timu zenye mafanikio Sana England lakin kwa sasa hasa miaka ya karibuni Sio timu kubwa angalau kidogo Hata manure japo nae anakuja mliko nyie.Aah wewe Legeza mwendo unapotaja vilabu vikubwa barani ulaya liverpool haipo? Acha bhana, Liverpool ni club kubwa na wachezaji kibao tu wa kutoka ndani na nje ya uingereza kwa % kubwa wana ndoto za kuvaa uzi wa Liverpool au Manchester United.
Manchester na liverpool ndio timu kubwa pale uingereza. Hizi nyingine zimeanza kukua juzi kati hapa kwa kutumia nguvu ya pesa zakibepari. Nachotaka uelewa ni kwamba world class player wapo wengi lakini hawana majina makubwa. Hao wenye majina makubwa tunawaachi Madrid na bayern.
Unajua % 85 ya wachezaji wanaocheza Atletico de Madrid ni world class lakini hawana majina makubwa. Hiki ndio scouts wa liverpool wanachopaswa kufanya. Soko la wachezaji wenye ubora na viwango lipo ufaransa, vinchi vilivyokuwa Yugoslavia, na America ya kusini huko unawapata wachezaji wazuri na bei imekufa.
Endapo itaitishwa lokoo ya timu kubwa barani ulaya, timu pekee itakayosimama na kuitika toka England ni Chelsea peke yake kwa sasa, the rest mtaulizwa WHO? Spain ni madrid, barca na atlet, Italy ni juve endapo millan atainuka watamuuliza WHO ARE YOU?
Tofautisha Kati ya kuwa na mafanikio na kuwa timu kubwa, huwezi kuita timu ni kubwa wakati Hata usiku wa ulaya huonekani, miaka ya 80's Liverpool ndio ilikua timu kubwa England na ulaya kwa ujumla the rest is history, manure ni kuanzia 90's to 20's the rest is history lakin kwa sasa ni zamu ya Abromovic fc nae atafika Kipindi atawaachia wengine