Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851








He's big
he's red
he's klopp klopp klopp klopp klopp
klopp klopp klopp
klopp klopp klopp
klopp klopp klopp
Soon to be he's clap, he's clap he's clap.....He can walk alone for you care.
And United fans are slating Klopp, SAYING ilibaki kidogo aishushe Dortmund daraja last season, Well he finished 7th akiwa na majeruhi kibao....hahahaha, msimu wa 2002/2003, bwana LVG alipigwa CHINI BARCELONA kwa kumaliza wa 12, 3 points above relegation zone, na hapo 2011 alipigwa chini na Bayern kwa kumaliza wa 3 kwa gap ya 10 points na league winner, GUESS WHO WAS THE WINNER???? DORTMUND, CHINI YA KLOOOOOPP......HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
WE'RE BACK BABYYYY
Klopppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp
Watu wapo excited kama wametumia methylenedioxymethamphetamine
Welcome to Anfield, Klopp.
His name is Klopp
Joins the Kop
Puts Liverpool on top
Success non stop
Rival teams flop
IT'S JURGEN KLOP(P)
Grüße aus Deutschland😀😀![]()
Klopp for Kop I hope haitokuwa Flop, ila kazi anayo Mie nampa mpaka msimu ujao wala sio January sababu timu ni mbovu sana na aliyoiharibu ni Brendan Rogers na Wamarekani waliomuamini kumpa mapesa yote. January apunguze uozo msimu ujao atengeneze vifaaa ndio Klopp afanye kweli sasa hivi arekebishe tu mpaka msimu unaokuja. Klopp YNWA!
We're backkkkkkkkk
Now KLOPP IS THE 2ND HIGHEST PAID MANAGER IN THE EPL, BEHIND MOURINHO, earning £10m per year...
Klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
klopp
It is Jurgen Klopp
Imefika
Wamesharekebishwa, hahahahahahaha tena ni anfield na wakiwa katika ubora waoHongereni wakuu kwa kupata kocha mpya. Lakini jinsi mlivyowafanyia Swansea sio vizuri jirekebisheni.
Are you sure???!!KLOPP ni shabiki wa LFC.
Nani ambaye hajafungwa EPL?Haya uliyaandika mwenyewe,sijui ulikuwa unafikiria nini wakati timu yako unaifahamu
Umesema kweli lakini punguza ukali wa maneno...Hebu tufanye mlinganisho kidogo wa sub.
Liverpool subs
Alexander-arnold,karius,klavan,moreno,origi,stewart na woodburn
Spurs subs
Janssen,sissoko,son,trippier,vorm,wimmer,winks
Man u subs
Blind,carrick,fellaini,rashford,romero,rooney,young
Man city subs
Bravo,delph,ihenacho,navas,nolito,fernando,zabaleta
Arsenal subs
Ospina,elneny,giroud,monreal,gabriel,walcot,welbeck
Chelsea subs
Batshuayi,begovic,willian,loftus cheek,mativ,terry,zouma.
Hivi liverpool are you serious??!! You deserve to be called liverfools![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Unataka ubingwa hata subs za maana hauna, kaondoka mane amerudi timu imeshapoteana kinomaa haijui hata inataka nini tena!!
Bora basi first 11 ingekua tishio lakini nayo waapiii!!!! Jamani jipangeni upya ndo mrudi kuwa timu kubwa ila kwa sasa ni kokoro
![]()
![]()
![]()
nacheka kwa dharaaau!!!!!
![]()
ni ushabiki tuu ila ndo ukweli

Last seven games
0 goals
0 assist
Mkuu una maneno ya shombo, ila hakuna namnaMimi ngoja niwaambie tuu wana liverfools ni hivi,
1.hamna back line ya maana, hii tatizo ni kocha hajiongezi maana nilitarajia january angesajili lakini akapotezea
2.hamna midfield yenye akili kama hererra au fabrigace ambae anaweza kucontroll tempo ya mchezo huyo handerson anajitahidi sana lakini nae bado yuko kawaida sana
3.golini kuna matatizo tupu hakuna cha maana!!!
4.hii ndo funga kazi!! Wachezaji karibia wote ni mediocre, si ajabu hata kocha nae akawa vilevile!!
Milikuwa nafasi ya pili hadi inafika december, kocha akaanza kujisemesha ujinga wake, leo mko nafasi ya ngapi?? Na siajabu mkawa chini zaidi ya hapo hadi msimu unaisha, kwa sasa msijisumbue kujilinganisha na chelsea kwasababu sio mediocre kama nyie.
Mnahaha kumaliza top 4 wakati huohuo mko katika mchuano mmoja tuu na ingekuaje mngekua kama man u.
Sasa hivi jitofautisheni kabisa na kundi la club kubwa EPL, level yenu sasa hivi ni sawa na akina everton tuu kasoro historia maana kama ni jina hata aston villa analo, na tunapowaambia jitahidini kuelewa!!![]()
![]()
Mkuu, hayo ndiyo maajabu ninayosema! Wakisajili vizuri ni maajabu, na wasiposajili vizuri watakuwa wanaendeleza maajabu yao pia!Mkuu sidhani kama kuna maajabu yatakayotokea kwenye usjili wa dirisha lijalo FSG wabahili sijui kwa transfer hii kama watajitoa akili ya ubahili na kusajili wachezaji wazuri.
YNWA
Tatizo moyes alishindwa kuvumiliwa kwasababu timu ilikuwa imetoka kuwa mabingwa, na pia alisababisha record nyingi sana kufutwa ndo maana alichukiwa, ila sasa huyu klopp ameletwa kuikwamua team lakini anaonekana kuvurunda sio kawaida!!Mkuu una maneno ya shombo, ila hakuna namna
Hawa jamaa walimtunga Moyes jina la Football Genius, cha ajabu ni bora Moyes than Klop
![]()
kama hamna kinda anaeweza kutishia amani eneo la midfield au foward unadhani kuna mafundi sasa hapo??!! Just mediocre Mkuu umewashika pabaya, hawachomoziTatizo moyes alishindwa kuvumiliwa kwasababu timu ilikuwa imetoka kuwa mabingwa, na pia alisababisha record nyingi sana kufutwa ndo maana alichukiwa, ila sasa huyu klopp ameletwa kuikwamua team lakini anaonekana kuvurunda sio kawaida!!
Mm nawasakama liverpool kwasababu wanataka vitu ambavyo kwa sasa sio size yao kabisa bora watulie tuu.
Makocha wanaowaleta wanamitazamo inayofanana hasa katika usajili wanafanya blunder tuu
Unaacha debrune unachukua firminho, hata kujaribu tuu kumsajili hakuna.
Unashangaa diego costa kaenda chelsea wakati alikuwa anakiwa aende liverpool badala yake analetwa balloteli
Unaleta fullback moreno wakati epl wapo namba 3 wazuri kuliko hata huyo tena bei rahisi tuu
Unamsajili milner ambae wenzako wameona hatoshelezi unaacha mikhtarian!!!!
Unasajili matip wakati kuna wapiga mkoba lukuki EPL na championship ambao ni wazuri tuu, mfano williams wa swansea aliyeenda everton
Hapa ndo funga kazi, unamundoa sakho halafu hausajili then unamchezesha lucas CB mtu mfupi, kazeeka end then what do you expect!!! Huyo clavan hadi leo hajazoea ligi!!
Halafu hicho kikosi kina makinda wengi mnoo ambao hawawezi kukupa suluhisho unapokua katika crisis maana hauwachezeshi mara kwa mara halafu si ajabu nao karibia wote ni mediocre![]()
![]()
![]()
kama hamna kinda anaeweza kutishia amani eneo la midfield au foward unadhani kuna mafundi sasa hapo??!! Just mediocre
Ila huu mwaka accademy yenu iko vizuri huenda mkapata fundi kwa next seasons
Poleni bana, hadi mnatia hurumaWacha Tujikumbushe na Vituko Vya ROBEN HOOD (KLOPP):
Liverpool Sikuzote Wanabalance League!
Aalimfunga Arsenal, Wakafungwa na Burnley....
Wakamfunga Chelsea, Wakafungwa naBournemouth....
Walimfunga Man City, Wakfungwa na Swansea City....
Wamemfunga Spurs, Wakafungwa na Leicester City....
Game ijayo Anacheza na Arsena, ikisha Anacheza na Burnely....
Sipati picha nini kitatokea!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hapa ndiyo alipotufikisha Klopp.... Katujengea Sera ya Roben Hood Ya Kuchukua Kwa Matajiri, Ukagawanya Kwa Masikini....
Wacha Tujikumbushe na Vituko Vya ROBEN HOOD (KLOPP):
Liverpool Sikuzote Wanabalance League!
Aalimfunga Arsenal, Wakafungwa na Burnley....
Wakamfunga Chelsea, Wakafungwa naBournemouth....
Walimfunga Man City, Wakfungwa na Swansea City....
Wamemfunga Spurs, Wakafungwa na Leicester City....
Game ijayo Anacheza na Arsena, ikisha Anacheza na Burnely....
Sipati picha nini kitatokea!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hapa ndiyo alipotufikisha Klopp.... Katujengea Sera ya Roben Hood Ya Kuchukua Kwa Matajiri, Ukagawanya Kwa Masikini....
Mkuu mimi ni shabiki wa chelsea lakini tukiweka ushabiki pembeni, timu zilizokuwa zinapiga soka la burudani yaani open play mwanzo mwisho na zinaflow ipasavyo 1.arsenal 2.swansea 3.liverpool 4.man u ya mzee fundi baada ya hapo ndo kina chelsea tunafuata ila sasa hivi im disappointed with this teamMkuu umewashika pabaya, hawachomozi
waache majigambo kwanza, wakirudi kama 2013/14 uwanja utakua wao wala sitathubutu kuwashambulia