Hebu trace back wakati BVB inafall apart alikua anasema nini
Hebu trace back wakati BVB inafall apart alikua anasema nini
Mbona hajawa bingwa Sasa...Kafungwa mechi mbili tu msimu mzima.
Kidonda Cha Jana bado kibichi,Nimegundua,wanaoiponda Liverpool ni form four leaver na wengi hawajui mpira.wasomi wanaojua mpira wangetupa what next na maboresho ya timu yetu.YNWA
Imegeuka imekuwa Imagine being Ass🤣🤣🤣🤣🤣Hivi ile kauli mbiu yenu ya imagine being us imefia wapi?
Aise tusingepumua kwa kweliKidonda Cha Jana bado kibichi,
Acha tumwagie pilipili kidgo maana kelele zilikua nyingi.
Uko wapi mama 😂😂😂😂
Timu iliyotoa Chelsea Makundiyo itabeba ndoo. Save this comment![]()



Wazee wa quadruple ya mchongo.Imegeuka imekuwa Imagine being Ass🤣🤣🤣🤣🤣
Rudi kule tena ukapige mdomo na matusi na kejeli zako.Kombe limeenda wapi mkuu.
They are champion of UCL 14th times.Real Madrid wamezifunga hizi timu hadi kuwa bingwa wa UCL tena kwa shida isipokiwa Livakuku
PSG mabingwa wa Ufaransa
Chelsea mabingwa watetezi wa UCL, Dunia, na mshindi nafasi ya tatu EPL
Mancity bingwa wa EPL
Liverpool Carabao, FA na mshindi wa pili wa EPL
So....
Sema chelsea isingekua zile sanction za boss kubwa wangewatoa madrid kwa maana ile mechi ya Stamford bridge chelsea walijichanganya na hawakuwa na ari ya ushindani. Ila mechi ya pili walicheza mno na walifunga sema ikawa sio ridhiki. Na chelsea mwaka uliopita ndio aliwatoa hawa madrid hivyo naona chelsea asingepatwa na mambo ya sanction wangemtoa MadridMwezi nyuma Liva ilikua inaongelea kunyanyua quadruple.
Akimaanisha baada ya carabao inafuata fA, ligi halafu UEFA.
Chelsea akagewa kazi ya kumzuia liva kwenye FA, chelsea kazi ikamshinda na Tuchel akasema mwakani chelsea isishiriki fA maana kila wakifina fainali hua wanapigwa.
Siku ya mwisho ya ligi suspense was huge. City anaongozwa mbili na Villa, Liva wako moja moja na Wolves they just need a goal hapa. Mpaka wanakuja kupata goli tayari City anaongoza tatu.
And then jana ikafika. The rest is history.
Makombe mawili ambayo Arsenal na City wamekua wakiyabeba mara kwa mara sasa ni makombe makubwa.
Inasemwa kwamba bahati humfavour aliyejiandaa.
Mane, Virgil na Diaz wamezalisha machungwa, Origi ni majeruhi am sure angekuepo jana angeingia sub. A lucky charm.
Arsenal wenzangu kwa jinsi tunasua sua kusajili hata tungeenda CL tungeenda kutia aibu, Liva, Chelsea na City zina vikosi complete na vimezoeana lakini wote wameshonwa na timu moja.
Kile kijamaa chao kina maneno mno haaahh eti "mimi ndio mchezaji bora duniani kwa sasa" Messi na unyama wake haja wahi ongea ugoro km huo. Mara nawataka Madrid nilipe kisasi aisee walijiamini mno wakidhani wanaenda kucheza na Tottenham ya puchettinoAise tusingepumua kwa kweli
Imagine being Ass🤣🤣🤣🤣
KabisaaSema chelsea isingekua zile sanction za boss kubwa wangewatoa madrid kwa maana ile mechi ya Stamford bridge chelsea walijichanganya na hawakuwa na ari ya ushindani. Ila mechi ya pili walicheza mno na walifunga sema ikawa sio ridhiki. Na chelsea mwaka uliopita ndio aliwatoa hawa madrid hivyo naona chelsea asingepatwa na mambo ya sanction wangemtoa Madrid
Not on Champion League final dude remember 2008/2009 and 2010/2011.Man U amewahi kumfunga Barcelona. Fuatilia
Sana mkuuKabisaa
Don't underrate yourself dude penalty hazina mwenyewe remember you played two finals and on those two finals Liverpool failed to score a single goal against Chelsea katika open play.Umedhibitisha wewe ni dhaifu mbele ya Madirid. Mwaka 2018 ulipigwa ..ukasema una Carius golini ..saivi una Allison na Madirid hii dhaifu amekukula.
Sisi Chelsea tungekuwa na experienced players Kama Modric, Kroos aise huu msimu mungetoka kapa.
FA na CARABAO makombe ya mbuzi.