Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tatizo ligi ya laliga haina pesa so timu zao zinakamia sana uefa maana ndo yenye pesa na ukibishanisha kiligi utakita ni madrid na barca tu ndo waliochukua kombe la uefa nyingine hazijawahi lakini epl kuna timu 5 ambazo zilishawahi kulichukua hilo kombe.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Fafanua vizuri kwamba kivipi ligi nyingine hazina ela na EPL ina hela. Kwa kifupi ni kwamba pesa inazopewa timu kwa kushinda kombe sio pesa za kuwezesha kuendesha klabu, imagine bingwa wa EPL anapewa prize money £44.6m hizo pesa hazitoshi hata kununua mchezaji mmoja wa kiwango. Timu huwa zinanufaika kutokana haki za matangazo, viingilio vya kwenye viwanja vyao, udhamini n.k. Nihitimishe kwa kukwambia wewe bado ni mchanga kwenye mpira ushabiki umekujaa kichwani. Kukamia mechi hakukupi ushindi, ingekuwa ni kukamia kunakupa ubingwa hata Westham wangekuwa wameshinda EPL. Kuhusu timu nyingine La liga kutobeba UCL nikwambie tu mbaya wao ni R.Madrid kwasababu ni giant, isingekuwa madrid basi Atletico Madrid angekuwa ameshabeba mara 2, na Valencia mara 1.
 
Tatizo ligi ya laliga haina pesa so timu zao zinakamia sana uefa maana ndo yenye pesa na ukibishanisha kiligi utakita ni madrid na barca tu ndo waliochukua kombe la uefa nyingine hazijawahi lakini epl kuna timu 5 ambazo zilishawahi kulichukua hilo kombe.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
. What kind of nonsense is this? Kati ya timu za Laliga na EPL ni zipi zinakamia? Hembu angalia ni timu gani zinawekeza mabilioni ya hela ili kushinda UCL.. EPL ina hela au ni hela za waarabu zimejaa EPL?? Real Madrid, Baca etl hazina wamiliki lakini fatilia mara ngapi hizi timu zimekua juu kifedha zaidi ya hizi za EPL kabla haujaendeleza utumbo wenu mnaongea kila siku
 
Huyu atakuwa ni mwanafunzi wa kidato cha pili hakuna anachojua kwenye mpira, amejawa na ushabiki maandazi.
 
Naona mnalalamika sana Liverpool kufungwa jana. Ila kwa mashabiki halisi wa mpira waliotazama mpira wanajua kabisa jana bahati haikuwa upande wetu. Mistake moja tu ilitukost, tulikosa nafasi 3 za wazi , hii madrid mnayomsifia jana amepiga shoot on target 1 tu. Tukubali sometimes bahati huamua matoke. Kama zile gori mbili ziligonga mwamba zingeingia maana yake leo hiii liver angekungua ni bingwa. hebu angalia takwimu hapaView attachment 2243319
Amka kumekucha wewe Neno "inge" huja baada ya safari
 
MAUMIVU TUUUUH
20220529_110737.jpg
 
Siri ya Rea Madrid jana kushinda
  1. Historia iliwabeba
  2. Luiz Dias aliwekwa chini ya ulinzi na afande Cravajal, alipojaribu kwenda katikati akakutana na kijana Militao
  3. Mane akapotezwa kabisa na Militao
  4. Mendy binamu yake na Mendy wetu akala sahani moja na Salah na TAA
  5. Tibaut Courtois akalifanya eneo la golini kwake ni eneo takatifu hakuna takataka yeyote aliruhusiwa kwenda hapo
  6. Vinicius Juniuor alikuwa akibembea na kuuchukua mpira anavyotaka
Hatari sana
 
Juventus ndio timu pekee ilishindwa mara nyingi fainali za UEFA zaidi ya Liverpool
Juve kashondwa mara 5
Liverpool kashindwa mara 3
 
Ingekua ni timu ya EPL imefanya hivi kwa Laliga ungesikia huo mdomo ungepigwa.. Honestly EPL imejaa hypocrisy ya hali ya juu. Maneno mengi mno.. Ukiwasikiliza wachambuzi unaweza kusema kuna la maana sana huko EPL..

Imagine ingekua ingekua ni EPL team imefunga mabingwa wote wa ligi kubwa tano kama walivyofanya Madrid msimu ule wanampiga bingwa wa German, EPL, France na Itali..

Imagine EPL team ichukua 3 consecutive UCL...

Mngetembea uchu huko barabarani.
Mwaka jana Chelsea imepiga RM na ATM hukuwa umezaliwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom