Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Tukubali tu.Real Madrid kwenye haya mashindano ni giant, Ki technique yuko vizuri jumlisha timu za Spain bado ni bora kulinganisha na timu za England.
.Hakuna cha bahati wala porojo nyingine hapo.
Real wamechukuwa nadhani ungesema Real wanastahili ila kuja kusema team za Spain ni bora hapo ungeandika team gani hizo bora? Maana ni kama nyingi unasema ni zipi hizo?
 
Ndiyo soka wana Liverpool!
Tusivunjike moyo,tuchukue haya makombe mawili na tusonge mbele!
Tunajiandaa sasa na mwakani
Uzuri wa mpira mechi ya mwisho ikiisha tu maandalizi ya mwakani yanaanza tunaaumia lakini siku mbili tunasahau tunaanza kujenga team furaha inaanza tena. Kuna watu inabidi waondoke Liver hata Mo kwa sasa kama hataki au Mane ni sawa tu hii ni Liver lazima ijengwe na wachezaji wenye kutaka kubaki katikati lazima tuongeze play maker kijumla msimu haujawa mbaya japo kama team tunataka kushinda kila game. Tujipange next season ambao utakuwa strange season na hii world cup kuingilia league kubwa duniani itakuwa tofauti kwa maana hata maandalizi yatakuwa tofauti sana sijui nini kitatokea je kutakuwa na two pre-season hata sijui itakuwa namna gani na hii kombe lao la dunia.
 
Imagine being liverkuku.

Wazee wa parade na quadruple.

Mmepigwa kitu kizito sana.

Mpaka mmeukimbia uzi.
 
Ndiyo soka wana Liverpool!
Tusivunjike moyo,tuchukue haya makombe mawili na tusonge mbele!
Tunajiandaa sasa na mwakani
Hahahaha maake apo kwanza ncheke ..mulizoea kubeba kupitia penalties hehehe ..Jana mumezingua wenyewe ..looser Ni looser tu ..katika ubora ambao liverkuku ilistahili kushine basi Ni msimu huu maana timu nyingi kubwa zimekuwa zinadema dema Sana ..msimu ujao Ni habari nyingine tena.

Kila timu inajipanga haswa, kazi itakuwa siyo ya kitoto.
#CFC💙💙💙
 
Tatizo hii timu mulijiamini Sana hasa baada ya kubeba tukombe tuwili twa uji ..Tena kkwa mbeleko za penalties Basi mukadhani maisha yatakuwa hivyo hivyo vs Madirid hahaha ..aise Ni bora ungekosa ivi vikombe vya uji kuliko li UEFA, ivi unajua ile feelings za kubeba UEFA zilivyo??! Achana na Qarabao na Fa ..mumekosa kombe kubwa Sana ..ninyi ni dhaifu mbele ya Madirid..fainal mbili UEFA zote kakuchapa.😂😂😂😂
 
Kikubwa cha kufurahisha Bado tupo na Klopp, makombe yatakuja tu.
Musitegemee Tena kwa misimu kadhaa apo mbele ..huyu Salah Mane sioni wakiendelea katika ubora wao hii misimu inayofuata. Diaz na Jota Hawa siyo game changer, Jana mumedhibitisha ninyi siyo fainal materials. Kubahatisha kwa penalties ndio kunawabeba, mfano Jana mungetoka bila bila ..Nina uhakika mungebeba kupitia penalties. Dkk 90 uwanjani haziwatoshi kuamua kuwa mabingwa.

Angalia fainal zote ulizocheza na Chelsea, umeshinda kwa penalty. Ina maana kama Chelsea tungeweza kupata goli mfano ndani ya hizo dakika 90 Basi tungeongea habari nyingine leo.

Ninyi ni dhaifu mbele ya Madirid, fainal mbili kakuchapa ndani ya dakika 90.

Kipindi kile fainal ya 2018 kikosi kilikuwa dhaifu, vip kuhusu jana? Wachezaji wote walikuwepo?. Poleni sana 🤣🤣🤣
#CFC💙💙💙
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom