King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,367
Nimepata hofu ya Majeruhi kwa Thiago
Huo ndio ukweli...city were the team to beat this season...congrats to them. They showed character till the endLigi imeshaisha tumepambana ila hatukufanikiwa kumzidi aliyebora kuliko sisi.
Man City ameshinda kwa uwezo na si bahati.
Tumpe Pongezi kwa kunyakua Ubingwa👏👏👏👏
Nimepata hofu ya Majeruhi kwa Thiago
Poleni reds, city wako vizuri.
Atawabeba kuwapeleka wapi?Haya haya leo si ndo siku yenyewe ya kujua kabisa kama ndugu yetu Aston villa atatubeba au laah
WINNERS Msikate tamaaAsante pia tukutane next season alafu jitaid jenga nyumba yako iwe kama ya man city na liver usibak kupiga ramli na kuombea wenzio mabaya ni dalili za uchawi.




