Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2241781View attachment 2241782
Leo van dijk anaingia na mfupa wa nguruwe huyo ustazi tamkimbia mwenyewe
 
Gerrard ni Kocha wa Aston Villa lakini yuko Paris na Klopp.
Haya maisha bhana!
Huyo gerrad ni fala TU ,chawa pro max anajikomba kutafuta kazi Liverpool kwa kila namna ...kazi aliyotumwa city kashindwa Sasa anaamua kujionesha waziwazi kuwa alikuwa kapewa mbinu na kloop mbwa huyo

Sasa anatafuta huruma kwa mashabiki kwa kujikomba kuenda Paris ....

Mwambie watu hawatafuti kazi hivyo
 
M

Mzee uyo hajikombi,ni mtoto wa liverpool apo ni nyumbani kwake muda wowote anafungua mlango anaingia ndan habishi hodi.
 
Mkuu hivi yanga akichukua ubingwa harafu kocha Bora wa msimu hapa NBC premium league anaweza kupewa Pablo kweli ??

Kisa simba imefika robo finali kombe la shirikisho ?
Mkuu mbona hushangai de bruine kupewa tuzo mbele ya mo Salah na Son!!??kilekile kilichotokea kule ndio kimetokea huku.yaani jibu la swali lako lipo hapo,huku unatupigia kelele sisi tuna mambo mengi wewe ushamaliza sisi tuna fainali
 
Huyo jamaa anashabikia mpira kwa kuangalia sofascore achana nae.
 
Madrid watunyoosheee watu. Mapema tu kipindi cha kwanza madrid wana maliza mechi🤪🤪🤪🤪
 
Screenshot_20220527_234654.jpg

😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Class act.
Elite.
Fabulous
Best from UK
Simply the best.

7th is loading big time. May the winning angels be with us.

YNWA
 
Screenshot_20220526_144206_com.android.chrome_edit_238984707587491.jpg

😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Na kweli kutangulia sio kufika aisee. Vijana wa Stretford End haoooo Conference League.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom