Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,844
- 16,298
Hili bango leo linabadilika, mpaka ikifika saa 23:50 litasomeka hivi:Na simama na Madrid View attachment 2242316
IMAGINE BEING ASS
Hili bango leo linabadilika, mpaka ikifika saa 23:50 litasomeka hivi:Na simama na Madrid View attachment 2242316
Game gani aliyouza?yaan kuwakazia ndio kuuza game?hiyo bhang achana nayoHuyu anachofanya anajiharibia mwenyewe ,hakuna timu kubwa ulaya inaweza kumpa mkataba fala kama huyu ambaye yupo tayari kuuza game Kwa sababu ya Liverpool
Ataendelea tu kufundisha vilabu vidogo vidogo na anapoelekea ni kubaya Sana ,!!
Maana hata huko liverpool kwenyewe anaweza asipate huo umanager anaotafuta Kwa mbinde ...!
Uko sahihi kabisa wala hujakosea sisi nimashabiki wa kukodi wa Madrid,tunawaombea mabaya Liverpool, nalazima mchinjwe leo hamponi.Washabiki wa madrid wa kukod mna maneno nyie, hata hao madrid wanajua kuwa hawakutani na bilbao
Pole Sana,next season itakuwa zamu YAKO,vumilia tuUko sahihi kabisa wala hujakosea sisi nimashabiki wa kukodi wa Madrid,tunawaombea mabaya Liverpool, nalazima mchinjwe leo hamponi.
Huu ujasiri wa kuandika haya unautoa wapi?Uko sahihi kabisa wala hujakosea sisi nimashabiki wa kukodi wa Madrid,tunawaombea mabaya Liverpool, nalazima mchinjwe leo hamponi.
Hili bango leo linabadilika, mpaka ikifika saa 23:50 litasomeka hivi:
IMAGINE BEING ASSView attachment 2242427


quadruple my assManyang'au mmepiga kambi hapa, ila mtanyookaHili bango leo linabadilika, mpaka ikifika saa 23:50 litasomeka hivi:
IMAGINE BEING ASSView attachment 2242427
HakunaJamani channel gani ndani ya king'amuzi cha azam inaonyesha game ya Real Madrid na Liverpool?
Mimi naomba live streaming linkWadau hivi hii mechi nikilipia kifurushi cha Compact DSTV 51,000 nitaiona kweli? Wife kagoma nisitoke hajiskii vizuri
Download app inayoitwa yosine tv.Mimi naomba live streaming link
ASS NEVER WALK ALONEquadruple my ass
Inaoneshwa ndio we lipiaWadau hivi hii mechi nikilipia kifurushi cha Compact DSTV 51,000 nitaiona kweli? Wife kagoma nisitoke hajiskii vizuri
Mbona li app lenyeewe limejaa kiarabu tu.Download app inayoitwa yosine tv.
Wee nenda TU ila ukirudi utatomb iyo mechi yakoWadau hivi hii mechi nikilipia kifurushi cha Compact DSTV 51,000 nitaiona kweli? Wife kagoma nisitoke hajiskii vizuri
