Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Mfano Madrid akibeba uefa klop anaweza kugewa kocha bora kwa sababu kafungwa mechi chache had kufika fainal tofaut na Ancelot?

Mkuu nikuulize kwanza wewe kocha bora kwako ni yupi?unatumia kigezo gani kujua kocha bora?

Kwa upande wangu ancelot hakuwa kocha bora kwenye hii uefa ya Msimu wa 2021/2022,me sijaona ubora wake wowote.kwa hiyo sisi watu wa mpira tukikisanya kura zetu zote tukipata mshindi ndio kocha bora huyo.

Kinachofanyika ni kwamba kura zinapigwa na watu wa mpira kama wewe kwa hiyo kila mtu kwa mtazamo wake anavyoona nani anafaa kuwa kocha bora kwa mfano kura zinapigwa na makocha wote walioshiriki kwenye hayo mashindano wachague nani anastahili kuwa kocha bora na sio ukichukua kombe tu wewe ndio kocha bora ndio maana kuna kuwa na washindani wengine na sio mmoja.

Sasa kuchukua tuzo na umechukua kombe nikutokana na makocha wengi uliokuwa nao kwenye hiyo ligi wamekukubali wewe ndio unastahili yaani wewe ndio bora.kuchagua nani bora wanaachiwa watu wa mpira kama wewe uchague na sio bodi ya ligi tu ila watu wa mpira ndio wachague. Sasa tunaamini watu wampira hawakosei.

Messi na virgil van dijk kwenye tuzo Za balon d’or Messi alikuwa mchezaji bora wa dunia kwa kumzidi kura 6 tu virgil van dijk. Na kocha bora pia anaweza kushinda kwa kura moja lakini ndio hivyo lazima tukubali ndio bora huyo japo wewe haukubaliani na hivyo.
 
Ligi ni kuchukua makombe mzee unakuaje bora wakati kuna mtu juu yako kabeba hilo kombe mlilokuwa mnashiriki tena kakuzid point na magoal ikiwa mmecheza idadi ya mechi sawa?

Mbona idadi ya kufungwa mechi hausemi?

Tuzo inapigiwa kura na sio ukichukua tu kombe wewe ndio kocha bora tu Hapana.utaratibu ndio uko hivyo kwenye mpira.
 
Ligi ni kuchukua makombe mzee unakuaje bora wakati kuna mtu juu yako kabeba hilo kombe mlilokuwa mnashiriki tena kakuzid point na magoal ikiwa mmecheza idadi ya mechi sawa?

Haya mapendekezo yako waandikie FA uwatumie ili wayafanyie kazi
 
yaaan anaemaliza wa kwanza anakuwa sio bora kwa aliemaliza wa pili tena ikiwa kamzidi Point na magol
Vigezo walivyotumia kumpa kelvin de bruyne mchezaji bora wa msimu ndvyo walivyo tumia kumpa jurgen klopp
 
Ligi ni kuchukua makombe mzee unakuaje bora wakati kuna mtu juu yako kabeba hilo kombe mlilokuwa mnashiriki tena kakuzid point na magoal ikiwa mmecheza idadi ya mechi sawa?
Vigezo walivyotumia kumpa kelvin de bruyne mchezaji bora wa msimu ndvyo walivyo tumia kumpa jurgen klopp
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom