Mtalimia meno,madrid wanakula 3,mapema sanaaaFainali ya leo hamchezi na spurs nataka niwakumbushe msije mkawa namatumaini makubwa sana leo mnakutana na gwiji wa haya mashindano, leo mnalala na viatu, mnywe maji mengi.
Hapo kwa Manchester United hapo kikwazo kikubwa cha yeye kuwa na UCL tatu ni Pep Guardiola kumbuka final ya 2009/2010 pamoja na 2011/2012 The same to you mpaka sasa mngekuwa na EPL tatu ila kikwazo kikubwa ni Pep Guardiola na pesa zao za mafuta😀😀😀.View attachment 2242096
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Class act.
Elite.
Fabulous
Best from UK
Simply the best.
7th is loading big time. May the winning angels be with us.
YNWA
Man U Watacheza Uropa league.View attachment 2242097
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Na kweli kutangulia sio kufika aisee. Vijana wa Stretford End haoooo Conference League.
YNWA
Usitumie nguvu kubwa kumuelimisha MTU mwenye WIVUTuzo ni ya Kocha bora England nzima sio kocha bora wa EPL. Sasa kwa msimu kati ya PEP na Klopp nani bora hapo
Mnatumia nguvu nying Sana kumuelimisha MTU ambaye amefunikwa na WIVU wa mafanikio ya klopp kwa kujifanya haujui UKWELI...Mkuu nikuulize kwanza wewe kocha bora kwako ni yupi?unatumia kigezo gani kujua kocha bora?
Kwa upande wangu ancelot hakuwa kocha bora kwenye hii uefa ya Msimu wa 2021/2022,me sijaona ubora wake wowote.kwa hiyo sisi watu wa mpira tukikisanya kura zetu zote tukipata mshindi ndio kocha bora huyo.
Kinachofanyika ni kwamba kura zinapigwa na watu wa mpira kama wewe kwa hiyo kila mtu kwa mtazamo wake anavyoona nani anafaa kuwa kocha bora kwa mfano kura zinapigwa na makocha wote walioshiriki kwenye hayo mashindano wachague nani anastahili kuwa kocha bora na sio ukichukua kombe tu wewe ndio kocha bora ndio maana kuna kuwa na washindani wengine na sio mmoja.
Sasa kuchukua tuzo na umechukua kombe nikutokana na makocha wengi uliokuwa nao kwenye hiyo ligi wamekukubali wewe ndio unastahili yaani wewe ndio bora.kuchagua nani bora wanaachiwa watu wa mpira kama wewe uchague na sio bodi ya ligi tu ila watu wa mpira ndio wachague. Sasa tunaamini watu wampira hawakosei.
Messi na virgil van dijk kwenye tuzo Za balon d’or Messi alikuwa mchezaji bora wa dunia kwa kumzidi kura 6 tu virgil van dijk. Na kocha bora pia anaweza kushinda kwa kura moja lakini ndio hivyo lazima tukubali ndio bora huyo japo wewe haukubaliani na hivyo.
Ndicho unachoelekea kufanywa na wewe. Wewe ulikua kama kuni ya akiba sasa ni zamu yako kuingia kwenye moto ukawe kichocheo kizuriAlichowafanya Al-Ustadh Sheikh Alhaji Benzema hamutoweza kukisahau mutaendelea kumtunza kwenye Gallery za Simu zenu kizazi na kizazi.
Kam aulikua hujui ustadh Benz anakula nguruwe tena kichwa anamaliza peke akeLeo van dijk anaingia na mfupa wa nguruwe huyo ustazi tamkimbia mwenyewe
Washabiki wa madrid wa kukod mna maneno nyie, hata hao madrid wanajua kuwa hawakutani na bilbaoFainali ya leo hamchezi na spurs nataka niwakumbushe msije mkawa namatumaini makubwa sana leo mnakutana na gwiji wa haya mashindano, leo mnalala na viatu, mnywe maji mengi.
Huyu anachofanya anajiharibia mwenyewe ,hakuna timu kubwa ulaya inaweza kumpa mkataba fala kama huyu ambaye yupo tayari kuuza game Kwa sababu ya LiverpoolM
Mzee uyo hajikombi,ni mtoto wa liverpool apo ni nyumbani kwake muda wowote anafungua mlango anaingia ndan habishi hodi.
