Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ila wakati mwingine mashabiki tuwe na subra kwa kile makocha huwa wanafanya imagine tayari tulishaquestion uwepo wa keita
Na ametoa assist,Keita& thiago ni wazuri timu ikiwa ina shambulia-Timu ikiwa inashambuliwa utawaonea huruma maana kukaba sio jadi yao kabisa tofauti na Fabinho ambapo yeye ni mzuri kwa kuzuia.
 
Adjustments.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom