Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Sasa hivi tunachowaza kwanza ni epl jinsi gani tumtoe man city kwenye reli

Tunabeba vikombe vyote hakuna cha nini wala nini hapa

😂😂😂😂😂😂

Sisi ndio vidume hapo uingereza,hakuna wa kutuambia lolote tunawaletea makombe ya ulaya yote.
 
Kwani kocha kakosea wapi, Roberston na Jota ndio mmoojawapo wa wachezaji wa kutumainiwa, leo form zao zimeshuka, wamezidiwa. Kocha sio nabii wa kujua kuwa leo wangecheza below form
Najua ww ni shabiki wa Chelsea, nashukuru kwa kuwa bega kwa bega na sisi, tang tulivyo pigwa goli 2 1st half mpaka tulivyo fanya comeback.
 
Captain Marvelous brother tuanze kufanya booking sasa Twenzetu Paris tukanyanyue ndoo.

Niliwaambia hii kazi imeisha
Mambo ni motoooo sana ndugu yangu.... Tuna fainali 6 mwezi huu wa 5.
Next fainali ni Tottenham Jumamosi hii.

Tupo tayari.

Am humbled vijana wamefuata maelekezo ya mwalimu kipindi cha pili.

YNWA
 
Sasa hivi tunachowaza kwanza ni epl jinsi gani tumtoe man city kwenye reli

Tunabeba vikombe vyote hakuna cha nini wala nini hapa

Sisi ndio vidume hapo uingereza,hakuna wa kutuambia lolote tunawaletea makombe ya ulaya yote.
UEFA champions league, nawatakia kila la heri Liverpool, lakini EPL nimeshakata tamaa kuamini kama Man City atatoka pale kileleni na kuwaachia ubingwa
 
Sisi kama mashabiki ni lazima tupanic mkuu kwani wewe uliamini kile kilicho tokea 1st half?

Mkuu unapanic haraka sana mpira dakika 90.

Halafu kitu kingine Liverpool tuko vizuri kwenye kufunga.hautakiwi kuwa na papara timu ya kutembea jino kwa jino na sisi hakuna kwa sasa itafika mudawanachoka sisi bado tuko vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom