Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,805
Aaaamin aaaamin 🙏Tunamaliza EPL msimu huu kwa tarehe hizi hapa chini.
View attachment 2204011
Duuh haya mambo naona sasa yanazidi kukaza naona wiki ya mwisho ya kumaliza msimu huu EPL tunacheza gemu 3 ndani ya siku 7.
Malaika wazidi kuwalinda wachezaji wetu wabaki wazima wa afya.
YNWA

