kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,751
- 12,140
Kwa kweli hapo tulisajili dogo kabadilisha mchezo kabisa 😂😀😂Waliosema tunajisumbua kumuingiza Diaz ni nani?![]()
Kwa kweli hapo tulisajili dogo kabadilisha mchezo kabisa 😂😀😂Waliosema tunajisumbua kumuingiza Diaz ni nani?![]()
Rudi tena.Hahahahahahahahhahha
Pigwaaaaaaaaa
Kwamba atafanya nini?Don’t mess up with Dr. Emery
Timu yako inaweza haya inayoyafanya Liver?LIVERFOOL![]()
Sikuhizi Salah hata akianzia benchi ni sawa tu ila siyo Mane wetu jamani🤗🔥kashaenda kulala
Wakimaliza warud kwao maana huku sio level zao.Mashabiki wa Arsenal, Man u na Chelsea wote wamehamia huku![]()
Tushashinda mkuu hatuhitaji hata feva ya goli la ugeniniIngekuwa Kuna faida ya goli la ugenini maisha yangekuwa rahisi kwetu
Aliyemleta huyu dogo washamuandalia siti yake special pale peponiKuna mdau hapa banda umiza anasema aliyemleta Diaz Liverpool anaenda peponi moja kwa moja...
Eti ni kweli wadau????.
Tupe matokeo mzee.Engineer soma hiyo View attachment 2210510
😂😂😂😂kuna vijamaa vilianzisha uzi wao wa villareal sijui wana hali gani huko walipoUsimalize maneno kaka, bakisha akiba. Liverpool wenyewe hawatabiriki na hujui watarudi vipi 2nd half.
Tusije tukakosa pa kukimbilia😂😂
Sasa hivi TV inasemaje?Hivi ni kweli
Hii tv inatakuwa inasema uongo aisee ,![]()
Walijua ni Majimaji FC😆kama zilivyo timu zao zenye kiwango Cha Tandahimba FCTeam villareal mlidhani liverpool ni mtibwa sugar?
Sawa kumbe we ni AngelAliyemleta huyu dogo washamuandalia siti yake special pale peponi


2-3 mkuu.Matokeo ngapi ngapi huko wengine tupo Machakani