Siki zote nyani halioni kundule ,unakuja kuongelea city ambaye kampiga Leeds goli 4 et ana struggle,wakati wewe Newcastle kakushika umetoka na goli moja 1 ,wewe wa goli moja hujastruggle ila aliyefunga goli 4 amestruggle [emoji1787][emoji1787],hivi kweli unaangaliaga mpira wewe ,unajua hakuna game nyepesi ???? Au unaagalia LiveScore matokeo [emoji1787][emoji1787] ,kama city ile game amestruggle je liverpool na Newcastle utasemaje ???mashabiki wote wa Liverpool wameangalia hii game wanatetemeka na kutamani mpira uishe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado timu yako huioni kama inaweza kupoteza kwa Spurs ambaye anataka top four ,unakuja kutafuta matumaini kwa wolves ambayo game 5 hajapata ushindi wowote ,et unataka westham ambaye jana kagongwa na arsenal ambayo haikuwa kwenye form aje amfunge city [emoji1787][emoji1787][emoji1787] subili tumalize uefa ndio utaiona sura halisi ya city epl [emoji28],hakuna mbwa atakatiza nakwambia ...!
Mbaya zaidi unaona wolves ni wazuri Sana wanaweza kumfunga city ila wewe hawawezi kukufunga [emoji1787][emoji1787][emoji1787] au hujui kama ina game na wolves? Kaangalie game na wolves round ya kwanza ulitokaje kabla hujasema city tulishinda ushindi mwembamba wa penalty na wolves round ya kwanza , mashabiki wa liverpool wanaojua mpira wametulia kabisa kuhusu hii show ,sio kwamba wameshindwa kujitokeza kusema watachukua makombe manne ila wanajua mpira ulivo ,na match ilivo [emoji28][emoji28]
Mimi nasema hivi hakuna mbwa yeyote atakayebaki salama akikutana na city mpaka may 22 ni kusambaza kipigo cha mbwa Koko mwendo wa 3+ goal mpaka wabweke bweeeee bweeeee bweeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]