Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Nani yule alisema Diaz Hana kazi?



Mambo yamewageuka huku! Wametepeta!Asante Mkuu.
Game management ni tatizo leo.
Tunapitwa pale kati kama vile tupo pungufu ama Villarreal wapo 12 damn nwa ngoja tuone half time talk ya Klopp itakuja na jibu lipi.
YNWA
SwadaktaInavyoelekea tukirudi HT ni fainali









Itakayokuchekesha naomba uwe unanitagNgoja nimalize hii game nipitie comment moja baada ya nyingine kwa mashabiki wa Arsenal, Chelsea na Man u![]()



THIS MEANS MOREWE ARE REDSSSSSSSSSSSSSSS![]()
kashaenda kulalaNani yule alisema Diaz Hana kazi?
Nahisi hukunielewaTunakata ushindi usumbufu siku nyingine
first half walijazana humu kama furuu 😂😂Cheltako plus nyumbu plus manshite wanakimbia kama kunguni baada ya kuliza dudukiller
![]()
We jamaa bhanaKweli chizi ni chizi tu.
Anaweza kwenda umbali mrefu sana ila akarudi na makopo tu





