Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,427
- 11,151
Achana nae huyo plastic fan kesho Madrid watamlambisha sukari ya ZuchuSasa hivi TV inasemaje?
Achana nae huyo plastic fan kesho Madrid watamlambisha sukari ya ZuchuSasa hivi TV inasemaje?
Just imagine 🤗IMAGINE BEING US![]()
Asee Safi sana2-3 mkuu.
Ndani ya dakika 12 tumewanyuka magoli matatu.
Huyu jina lake lishapita😆Sawa kumbe we ni Angel
Muandalieni vitu vyote muhimu
Endelea kushika nanihii hapo taratibu huku unamalizia kucheck Mpira mzrui wa LIverHivi ni kweli
Hii tv inatakuwa inasema uongo aisee ,![]()
Klopp hua anajua anachokifanya siku zote, yeye anajua unakujaje, halafu anakuamnisha kwamba yeye hajui unakujaje, ukishakuja sasa, baada ya muda anabdilika analeta game plan aliyokusudia anakumalizaHaya makosa aliyofanya klopp leo asifanye kwa Tottenham weeknd
Msimu gani nakati Chelsea mwaka huu huu kashachukua world club champions![]()




Wakati waliotolewa game ikabadilika ni Jota na RobertsonIla wakati mwingine mashabiki tuwe na subra kwa kile makocha huwa wanafanya imagine tayari tulishaquestion uwepo wa keita
Tv yako kwa sasa inasemaje? Zam yenu ni kesho sisi tumesha maliza.Hivi ni kweli
Hii tv inatakuwa inasema uongo aisee ,![]()
Kwani kocha kakosea wapi, Roberston na Jota ndio mmoojawapo wa wachezaji wa kutumainiwa, leo form zao zimeshuka, wamezidiwa. Kocha sio nabii wa kujua kuwa leo wangecheza below formKlopp hua anajua anachokifanya siku zote, yeye anajua unakujaje, halafu anakuamnisha kwamba yeye hajui unakujaje, ukishakuja sasa, baada ya muda anabdilika analeta game plan aliyokusudia anakumaliza
Pamoja Mkuu yametimia haha haoooooooooooo Ufaransa.Hao jamaa yanapigwa na liver utaona hawawezi kumaliza game washachoka hapo hato dk 70 na kitu wanakula bao
Kweli chizi ni chizi tu.
Anaweza kwenda umbali mrefu sana ila akarudi na makopo tu




YNWA 💪💪💪💪Pamoja Mkuu yametimia haha haoooooooooooo Ufaransa.
YNWA
Tumebaki wenyewe tuCheltako plus nyumbu plus manshite wanakimbia kama kunguni baada ya kuliza dudukiller
![]()


