Futari vipi wakati mfungo ushaisha? Kavimbiwa pilau la idd huyu keitaMkuu Keita leo naona amevibiwa futari yaaani yeye na Salah hawarudi nyuma kusaidia defensive duties nwa ngoja tuone maana kikosi kizima kipindi cha kwanza hawakua kazini wamewapa Villarreal gemu nyepesi sana mpaka magoli yanarudi.
Henderson taken wise yupo chini ya Keita lakini wakati mwingine unachohitaji ni bodies to close the channels na hilo captain wetu hua anafanya powa sanaaa.
Keita na Thiago almost wanacheza identical moves hivyo hii combination mapema sana Klopp ampumzishe mmoja.
YNWA
Bhana leo mpaka Thiago anapiga blind pass aisee.Viungo wote wa liver wamepotea kwa style hii tegemeeni maumivu sioni ni namna gani Liverpool akipita hapa
Kweli kabisa Villarreal wanacheza sana rafu
90+5
Villa Real 2
Liverpool FC 3
Divorck Origia🤣🤣🤣
Ikitokea ikawa kweli ntaamini uchawi upo....HT: Liverpool 0 Villarreal 2
FT: Liverpool 2 Villarreal 2(Matip na Jota)



Usimalize maneno kaka, bakisha akiba. Liverpool wenyewe hawatabiriki na hujui watarudi vipi 2nd half.Hatuna cha kupoteza wamezidi majigambo acha wazamishwe katkat ya habar na manyambizi
Ndio kitakachotokea second half na Liverpool kupata goliIla ubaya wa timu ndogo utakuta kipindi cha pili wanarudi nyuma badala ya kuendelea na moto walioanza nao.
Usimalize maneno kaka, bakisha akiba. Liverpool wenyewe hawatabiriki na hujui watarudi vipi 2nd half.
Tusije tukakosa pa kukimbilia![]()





Hahahaha ngoja tuone..Futari vipi wakati mfungo ushaisha? Kavimbiwa pilau la idd huyu keita