duh.........HT: Liverpool 0 Villarreal 2
FT: Liverpool 2 Villarreal 2(Matip na Jota)
GOAL DKK YA 2 NI SAWASAWA NA MTU ULIKUA UMELALA ALAFU ANAKUJA MTU ANAKUAMSHA KWA KUKUMWAGIA MAJI YA BARIDI








UBAONI 0-0




Unai kocha wa mpira angalia wachezaji alionao ni trash kutoka team zingine lakini anawakamua kweli kweliHii style ya VR ndio tunaikosa kule kwetu darajani
nilikua na hofu sana na hii game..... let us see!game ya leo nina hofu sana sijui kwanini...................
yes keita kapoteaHenderson ni mtu muhimu sana kwenye big matches
Wewe jamaa ni mchawiHT: Liverpool 0 Villarreal 2
FT: Liverpool 2 Villarreal 2(Matip na Jota)
Wamepooza mchezo sana aiseeKeita atusubiri kidogo na Jota