Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Mkuu ukielewa kazi ya ma MFs wetu anavyotaka Klopp basi utajua vyema hizi lawama zinaanza wapi na kuishia wapi...Kabisa Tunadefence mbovu mno aisee
Weak link ya high line defence ni wachezaji wetu kupoteza mpira mazingira hatarishi tazama goli la pili ya Westham tulivyopoteza mpira na jamaa chap wakatupiga kaunta bila shaka utaona high line imetu cost lakini ingekua leo kila second ball ilisachiwa na tochi design kama gemu ya ugenini Manchester United basi hawa wagonga nyundo wangeambulia kipigo...
Strong and key area ya Liverpool ni win the second ball higher up the pitch na kuanza quick attacks kabla timu pinzani hawajajipanga lakini leo hayo yote imeshidikana kabisa, we couldn't win the ball back and hurt Westham..
YNWA


