Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna haja ya kuingia sokoni mkuu pale katikati panahitajika damu ya moto kabisa, twende kwa Tielemans maana HENDO jua limezama, keita ndio huyo trip shamba trip garage, Thiago ndio huyo hajamatch na mfumo mpaka leo, Milner jua limesha zama ameshasoma Kilometer za kutosha.
Gemu ya leo ilihitaji utulivu sana lini tushambulie lini watoe pasi yaani haikuhutajika margin of error lakini kama kawaida yetu we make our own downfall... Unaweza aje kusidikiza kweli mchezaji vile huku anaelekea golini kwako yaaani poor kabisa...

Kuhusu usajili ndugu huyu Klopp pride yake inammalizaga wakati mwingine yaaani hawa wamiliki lazima awe anawapa za uso black and white..

Nimegudua mwanzo mwema wa EPL na UCL umetu brain wash kuona tuna kikosi kamili cha kuleta makombe lakini ukweli ni kwamba wakicheza kana unit wanaweka kumfunga yeyote lakini wakicheza kama leo duuh tunakua opened mwanzo mwisho ilihitajika individual brilliance kutoka kwa VVD na Allison kupungua aibu hii otherwise kuanzia Mane na wengine leo wamekua na a very bad at work.....

Sio ishu kuu imeshua sasa ni how we bounce back to winning ways come 2 weeks from now...

Robertson leo klosi zake zilikua trash kabisa..

YNWA
 
Yani sisi tuwashindwe Hawa Westham????embukuwa serious mkuu.
Hao man shityee najua hawananpa kutokea.
Sisi Chelsea tutawamudu vizuri Hawa west ham

Unbeaten Kama ubeaten Kama unbeaten 😂😂😂🤣🤣
Aisee nilijua ni sisi majogoo hutembea na matokeo mfukoni kumbe na nyie wa darajani mnatembea nayo..

Haya tazama usije jipiga ban humu..

YNWA
 
Robertson kwenye kushambulia amekuwa week ukicompare na dogo Tsimikas dogo anapiga Kross tamu sana
Gemu ya leo ilihitaji utulivu sana lini tushambulie lini watoe pasi yaani haikuhutajika margin of error lakini kama kawaida yetu we make our own downfall... Unaweza aje kusidikiza kweli mchezaji vile huku anaelekea golini kwako yaaani poor kabisa...

Kuhusu usajili ndugu huyu Klopp pride yake inammalizaga wakati mwingine yaaani hawa wamiliki lazima awe anawapa za uso black and white..

Nimegudua mwanzo mwema wa EPL na UCL umetu brain wash kuona tuna kikosi kamili cha kuleta makombe lakini ukweli ni kwamba wakicheza kana unit wanaweka kumfunga yeyote lakini wakicheza kama leo duuh tunakua opened mwanzo mwisho ilihitajika individual brilliance kutoka kwa VVD na Allison kupungua aibu hii otherwise kuanzia Mane na wengine leo wamekua na a very bad at work.....

Sio ishu kuu imeshua sasa ni how we bounce back to winning ways come 2 weeks from now...

Robertson leo klosi zake zilikua trash kabisa..

YNWA
 
Wadau mnaonaje tukiukimbia uzi kama chelsea jana?, Kwani shida nini situnaukimbia tu baada ya wiki mbili tunarudi?
Kokote mtakakokimbilia tuna nyinyi....

Uzuri tumeshawakariri masahabiki wote wa Liverkuku....

Hata tukiwakuta majikwaa mengine tutadeal na nyinyi

Anyibiteni imeishia wapi?
 
mbona ndio magoli tunayofungwa kila mechi, staili hiyo hiyo na sioni timu ikibadilika kiuchezaji, mechi ambazo hatujafungwa ni zile Allison ameamka vizuri, lakini karibu kila mechi lazima itokee 1vs 1 against allison au setpieces upande wa TAA, hata mechi zijazo utaona hivo hivo kina Dijk wanakimbizana na watu tukipigwa counter, tutasema kiungo sijui wakae kina nani ila kwa huu mfumo tutapigwa magoli hayo hayo mpaka Klop ashtuke
Ni kweli mkuu upande wa TAA hua unapwaya sana tunavyoshambuliwa na pia kwenye kona ama set piece inaonekana dogo sijui ni muoga wa kuokoa na kichwa ama niaje tazama gemu ya Brentford na leo utaona hioa weakness laivu bila chenga...

Kwenye mpira lazima hawa wachezaji waelewe umuhimu wa kuchukua fursa kadri wawezavyo tazama hapa Chelsea alitangulia kucheza na alipigwa na Manchester City nilitarajia basi wachezaji wetu wawe na uchu na pointi 3 mechi dhidi ya Brentford lakini tuliambulia sare huku tukiwa na sala kama zote mechi iishe,... Leo tena tulikua na matokeo ya Chelsea ku draw na Burnley jana tulikua nayo lakini badala ma dogo wakomae kupunguza utofauti wa pointi na kinara ndio kwanza wanakwenda kufungwo very easy goals London Stadium..

In life when opportunities kama ya leo inavyokua we got to grab the day and ran away with the 3 points period...

YNWA
 
Liverpool Trophies:
League Tittles: 19

Premier League Champions: 19

European Trophies: 12

UEFA Champions League: 6

UEFA Europa League: 3

UEFA Super Cup: 4

NB; nimeona tukumbushane tu kidogo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom