BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,911
- 11,729
Duh yaani viungo wale hawatamaniki kabisa.Hiki kipigo ni proper wake up call kwa Klopp kuhusu pale kati yaani tunakua overran kirahisi sana...
Tuombe wachezaji wetu wanaokwenda mechi za kimataifa warudi wakiwa wazima kabisa..
YNWA

