Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Full Time West Ham United 3
Liverpool 4


What a came back. Sisi tunajua kikosi chetu bhana leo ushindi lazima. West ham wanatusumbua tu wanapokuja anfield ila kule kwao tunashinda kirahisi tu.


Mlicheka sana sare ya chelsea. Sasa sikui mtasemaje hata sare ninyi hamjaambulia.
 
Mkuu kwani ninyi mlivyopata sare akili iliwakaa sawa.

Kujidai ni kwa kila timu kabla ya mchezo na baada ya mchezo.

Mfano leo mbano wote mnasema mnaenda kushinda. Tayari mna matokeo mkononi au mfukoni. Kwenye mpira lazima tujitape kabla ya mechi. Na baada ya mechi.

Ukifungwa umesidiwa mbinu ukishinda umemzidi mpinzani wako mbinu
Mkuu tatizo hizi kuku zinaamini kikosi Chao ni Bora kuliko. ..Sasa mbaya zaidi hawana hata sub za maana 😂😂😂
 
Hiki kipigo ni proper wake up call kwa Klopp kuhusu pale kati yaani tunakua overran kirahisi sana...

Tuombe wachezaji wetu wanaokwenda mechi za kimataifa warudi wakiwa wazima kabisa..

YNWA
Tatizo ni klop mwenyewe na mifumo yake, japo kuna maajabu goli la pili Ox anamsindikiza mtu kama mshenga vile badala acheze hata technical foul
 
Hahahahahahaha hahahahahahahaha hahahahahahaha Anibiteni kama Anibiteni😂😂😂😂😂🤣
 
Hizi kuku Leo zimeteseka aisee.....


Mimi binafsi hiki kipigo nilijua mnaenda kuchezea

Westahm wajinga wale hawana fomular ,wanacheza kwa kukamia ,nguvu ,yanapanda na kushuka yote ....yametutoa carabao hivo hivo ....


Tunawasubili epl tuwapige goli za kutosha mamaeeee...
 
Screenshot_20211107-213153.png

3-3 apo

Kliilooop dkk ya 98
Sisi bado ni unbeaten 😂😂😂😂😂🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom