Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tuombee tuu hizi fursa tulizopoteza zisitucost end of the season
Ni kweli mkuu upande wa TAA hua unapwaya sana tunavyoshambuliwa na pia kwenye kona ama set piece inaonekana dogo sijui ni muoga wa kuokoa na kichwa ama niaje tazama gemu ya Brentford na leo utaona hioa weakness laivu bila chenga...

Kwenye mpira lazima hawa wachezaji waelewe umuhimu wa kuchukua fursa kadri wawezavyo tazama hapa Chelsea alitangulia kucheza na alipigwa na Manchester City nilitarajia basi wachezaji wetu wawe na uchu na pointi 3 mechi dhidi ya Brentford lakini tuliambulia sare huku tukiwa na sala kama zote mechi iishe,... Leo tena tulikua na matokeo ya Chelsea ku draw na Burnley jana tulikua nayo lakini badala ma dogo wakomae kupunguza utofauti wa pointi na kinara ndio kwanza wanakwenda kufungwo very easy goals London Stadium..

In life when opportunities kama ya leo inavyokua we got to grab the day and ran away with the 3 points period...

YNWA
 
Robertson kwenye kushambulia amekuwa week ukicompare na dogo Tsimikas dogo anapiga Kross tamu sana
Kabisa Klopp has to gamble wakati mwingine na hawa confirmed 1st 11 wawe wanakula benchi kurefuel na ku recover mechi bado nyingi sanaaa...

Leo sikuona hata klosi yake ya maana aisee...

YNWA
 
Tuombee tuu hizi fursa tulizopoteza zisitucost end of the season
Duuh Mkuu never say never yaaani sisi mbaya wetu ni Manchester City yaaani hawa ndio the team to beat hopefully hizi fursa hatutakuja kujutia kama zile msimu ule Pep anashinda EPL kwa pointi 98 huku Liverpool 97 na sare maua zikichangia kuukosa ule ubingwa..

Kushinda EPL lazima kila fursa itumike vyema sio kama sisi tunavyokwenda

YNWA
 
Kabisa that's what wory me this season.

Umemaliza... City akikaa pale juu ya table ndo hua napatwa na mhaho maana yule kipara c MTU mzuri lakini hawa wengine najua watapukutika kama majani wakati wa kiangazi.. BTW bado ubingwa upo mikononi mwetu.. Bora ufungwe zeni ushinde kuliko sare mbili...

Usiku mwema guys

Ynwa..
 
Wana Liverpool wenzangu,hamna haja ya kuanza kutukana wachezaji,kucheza chini ya kiwango ni kawaida kwa mchezaji!
Alison will bounce back,atajirekebisha atatupa tena clean sheets
Waache Liverpool’s Pep waendelee kutukana wachezaji,sisi Liverpool halisi tuendeleze umoja wetu
 
Kabisa that's what wory me this season.
Pazuri we are still in the mix EPL msimu huu na EPL matokeo kama ya leo hua hayachagui timu yaani, unakumbuka Norwich kuna msimu alimtadika Manchester City 3 au Crystal Palace kumtadika Pep 2 safiii kabisa msimu huu haha yaaaaani hii ligi ni levo zingine kabisaaaa..

Cha msingi Klopp has find the right rhythm pale kati na hii mambo ya high line kama hana wachezaji sahihi tuachane nayo kabisaaa...

YNWA
 
Umemaliza... City akikaa pale juu ya table ndo hua napatwa na mhaho maana yule kipara c MTU mzuri lakini hawa wengine najua watapukutika kama majani wakati wa kiangazi.. BTW bado ubingwa upo mikononi mwetu.. Bora ufungwe zeni ushinde kuliko sare mbili...

Usiku mwema guys

Ynwa..
Kabisa ndugu Pep kukaaa kileleni anakua hana nafasi ya uzembe kama huu wetu yaani pale wachezaji wanapofanya sivyo basi mechi ijayo wanakula benchi haha sasa kwa Liverpool hata kama Klopp anatamani awapumzishe je atampanga nani maana ana benchi limepwaya mno..

Natarajia Klopp na jopo lake la walimu watakaa kuangalia marudio mechi zote muhimu tulivyokosa utulivu na kutoa sare na hii ya leo na bila shaka wataona wapi penye kuhitaji maboresho maana lazima kazi ifanyike mazoezini ibakie utekelezaji uwanjani...

Nyt nyt

YNWA
 
Wana Liverpool wenzangu,hamna haja ya kuanza kutukana wachezaji,kucheza chini ya kiwango ni kawaida kwa mchezaji!
Alison will bounce back,atajirekebisha atatupa tena clean sheets
Waache Liverpool’s Pep waendelee kutukana wachezaji,sisi Liverpool halisi tuendeleze umoja wetu
Kwani Allison ana clean sheet ngapi😂😂😂😂
 
Duuh Mkuu never say never yaaani sisi mbaya wetu ni Manchester City yaaani hawa ndio the team to beat hopefully hizi fursa hatutakuja kujutia kama zile msimu ule Pep anashinda EPL kwa pointi 98 huku Liverpool 97 na sare maua zikichangia kuukosa ule ubingwa..

Kushinda EPL lazima kila fursa itumike vyema sio kama sisi tunavyokwenda

YNWA
Muda hubadilika usiseme mbaya wetu ni man city na tukiendelea na ujuaji aseno anatubonda na sitoshituka...

Tunacheza mpira mmoja wa kiboya sana... Rubbish football sijui robo alkua anaona anachocheza plus mwenzake mane anaporwa mpira kaunta goal...

Mid sasa ox na thiago bora nani mara mia thiago sio ox ila klopp sasa anajaribu watu huku anatafta kombe...

Kuna siku mbinu zake zote zitafeli... Na atatikiwa acheze real football sio kulaumu ooh sijui lile sio goal sijui boyz played well played well. Ya mafii..

Tu reduce expectations na hii team haina maajabu tu reduce tukishinda tufurahi tukipigwa tutulie.... So far ni ajabu ndo tu napigwa leo tunacheza soka la kipumbavu sana hasa tukikutana na mid table teams ni kama wachezaji wanachagua mechi za kucheza.... Rubbish mindsets..

Usku mwema chief

Ynwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom