Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni kweli mkuu upande wa TAA hua unapwaya sana tunavyoshambuliwa na pia kwenye kona ama set piece inaonekana dogo sijui ni muoga wa kuokoa na kichwa ama niaje tazama gemu ya Brentford na leo utaona hioa weakness laivu bila chenga...

Kwenye mpira lazima hawa wachezaji waelewe umuhimu wa kuchukua fursa kadri wawezavyo tazama hapa Chelsea alitangulia kucheza na alipigwa na Manchester City nilitarajia basi wachezaji wetu wawe na uchu na pointi 3 mechi dhidi ya Brentford lakini tuliambulia sare huku tukiwa na sala kama zote mechi iishe,... Leo tena tulikua na matokeo ya Chelsea ku draw na Burnley jana tulikua nayo lakini badala ma dogo wakomae kupunguza utofauti wa pointi na kinara ndio kwanza wanakwenda kufungwo very easy goals London Stadium..

In life when opportunities kama ya leo inavyokua we got to grab the day and ran away with the 3 points period...

YNWA
Sisi chelseafc ubingwa unatufuata chochote kinachotokea kina sababu keep it in your mind
 
Kabisa ndugu Pep kukaaa kileleni anakua hana nafasi ya uzembe kama huu wetu yaani pale wachezaji wanapofanya sivyo basi mechi ijayo wanakula benchi haha sasa kwa Liverpool hata kama Klopp anatamani awapumzishe je atampanga nani maana ana benchi limepwaya mno..

Natarajia Klopp na jopo lake la walimu watakaa kuangalia marudio mechi zote muhimu tulivyokosa utulivu na kutoa sare na hii ya leo na bila shaka wataona wapi penye kuhitaji maboresho maana lazima kazi ifanyike mazoezini ibakie utekelezaji uwanjani...

Nyt nyt

YNWA
Kombe ni la Chelsea wewe na man city mtagombea nafasi ya pili na tatu
 
picha ya tukio lililojiri siku ya jana ndugu mtazamaji
JamiiForums-1912299438.jpg
 
Hapa umeongea kimpira na si kishabiki. Akili imeanza kuwakaa sawa. Narudia kusema kwenye mpira kila timu inaingia kupata point tatu. Lakini anaezidiwa mbinu hupoteza points akiwa sawa kimbinu wanagawana point.

Hakuna timu yoyote duniani inayoingia uwanjani kutafuta point zero 0 hakuna. So Jana West ham wamewazidi mkalambwa. Mjipange kwa mechi ijayo. Baada ya break

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Naked truth the better team won.

Whining wont win the league or any trophy mbali ni kupambana kwa mbinu zote.

Ki ufupi naona timu nyingi sasa wameshatujia aisee ni mwendo wa kaunta na kwa vile pale nyuma tunakua tumesogea sana kati basi mabeki wanakibizwa mpaka basi one key pass kama jana na tunafungwo...

Otherwise tumeteleza mechi ya jana imeshapita ishu sasa ni namna gani tunarejea kushinda mechi ijayo.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom