Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu mpira umeanza kuangalia lini?

Mkuu timu yangu naijua vizuri sana,sijaanza kuangalia mpira leo mkuu.

Timu yangu kufungwa au kutokufanya vizuri na kuwa najua tatizo ni nini.

Mechi ya leo wachezaji niliokuwa nataka wawe Po wapo.


Leo ushindi ni uhakika asilimia 100.

Kikosi chetu kiko kamili.
Acha bwana
 
Au tutafute faulo nje kidogo ya box TAA atunyanyue tena. Mbinu zengine zimefeli Hawa wamepania kutuchana chana YNWA
 
Bro Capt ukimuona Origi mwambie bangi yake nimemuachia dada wa tango hapa mwenye bunyenye ..
Amesema aje amuinue na yeye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom