Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Origi the Cult Hero...

1636310630197.gif

YNWA
 
Tatizo ni klop mwenyewe na mifumo yake, japo kuna maajabu goli la pili Ox anamsindikiza mtu kama mshenga vile badala acheze hata technical foul
Ishu ni mbili tu ndugu watuvuta kwao aafu watupige kaunta wanajua vyema muda huo TAA na Robertson watakua mbele kushambulia hivyo wakipiga kaunta wanajua vyema tutakua weak..

Ishu ya pili kona yaani Zuma anatazama mpira mpaka anakwenda kufunga TAA yupo anategemea maajabu ya Allison yaaani TAA kwenye ku defence ni mzigo..

YNWA
 
Mipira mingi tunawapa hawatukabi kabisa.

Tuko very slow.
The most prepared team won the day, Moyes amefanya homework yake vyema ukitazama walivyokua wana mcrowd Allison utaona kabisa hawa jamaa walijua vyema namna ya kutuumiza, tazama pia zile kaunta zao ndio kabisaa wachezaji kijiji wanamsidikiza Bowen bila hata tackle yaaani...

We were very soft leo..

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom