Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Hua sikasiriki mambo haya ya mpira ndugu utasubiri sanaaaa...Punguzeni makasiriko 😂😂😂😂
YNWA
Hua sikasiriki mambo haya ya mpira ndugu utasubiri sanaaaa...Punguzeni makasiriko 😂😂😂😂
Safi Sana mkuu ..wewe ndio shabiki haswa😂😂😂Hua sikasiriki mambo haya ya mpira ndugu utasubiri sanaaaa...
YNWA
Ukiwaambia ukweli wanakasirika😂😂😂Tatizo ndugu nyie mnamtegemea mfungaji mmoja, akigoma siku hiyo hamna points
Sisi mabeki wanafunga
Viungo wanafunga na forward wanafunga
Magoli yanayoamua matokeo mengi anafunga Nani? Leo uyo mwarabu kabanwa mbavu hajafunga. Angefunga Ina maana matokeo yangebadilika. Ndio maana tunasema ninyi kuku munamtegemea michezaji mmoja.Sio kweli mkuu hatutegemei mtu mmoja afunge,
Liverpool kwenye kufunga hatuna tatizo mkuu,kila mechi lazima tufunge magoli. Hata salah asipofunga sisi lazima tupate magoli.
tukifuta magoli yote aliyofunga salah mutakuwa mumeshinda mechi ngapi?Hii points yako haipo sahihi.
Leo tumefunga Magoli 2 yalitosha kutupatia points 3.
Tatizo la Liverpool msimu huu ni Defence na sio ufungaji! Tumefunga Magoli mengi kuliko Chelsea lakini tumeruhusu kufungwa magoli mengi pia.
Hiyo kusema magoli yetu tunamtegemea Mtu mmoja sio sahihi! Wastani wa ufungaji wa Salah ni goli 1 kila mchezo, wakati wastani wa Liverpool wa ufungaji ni 3 goals per game.
Musiongee bila ya Tafiti
Ukiwa na hasira aafu unasubiri miaka 30 kupata ubingwa tena uliobadilishwa😜 jina ndugu hizo hasira utaishia ku paralyse ndugu 😂😂😂😂huku ukiambulia maumivuuuuu....Safi Sana mkuu ..wewe ndio shabiki haswa😂😂😂
Eti tunawaogopa😂😂😂🤣🤣Hao watu wanatuogopa sana asee. Yani huwa wanavamia uzi wetu kama nzi.
How yo doing?
Aisee.. Mkuu Gomez huyu huyu ama mwingine na kwa 4 3 3... Hili hapana tuedelee na TAA... Ukiwa na muda tazama kwa nini Klopp anatumia 4 3 3 ya dynamic RB na LB hilo ni sababu ya Robertson na TAA kwa vile anajua hana creativity pale kati... Gomez japo anacheza RB sidhani hata kama ana assist 5 au goli 5 pale Liverpool tangu Klopp atue..
Weakness ni pale kwa Konate ambae ni pacha wa TAA defense wise .. Konate Position wise, balance, reading the game, tactical awareness amekua poor mno pale ambapo timu inazidiwa kama leo... Ubora wa mchezaji unaonekana kama leo ndugu unapoelemewa... Ni kama dogo sasa anaitaka hii namba ya Matip kwa nguvu zotee...
Epl sio ligi ya ma baby face inahitaji kazi kazi...
YNWA
Mimi kwa sasa sina neno maana hata ujanja mmetushinda, Mechi za kushinda tuna draw kizeembe.Takataka utatuambia nini Sasa![]()
Kila goti litapiga mbele kuwa Yesu ni bwanaKwa performance ya Chelsea basi msimu huu ndiyo mabingwa wa EPL.
Nimeyasema haya based on performance
Sisi tumempiga mtu tatu mzuka wakati tuna injury ya wachezaji watano muhimuWe are losing the very basic of football and that is patience..
Under such a well nit opponent we need patience.
YNWA
Sisi tuna injury ya wachezaji wa5 muhimu wa team Mateo kavacic, Lukaku, Mount,Timo Werner na Pulisic na still tupo🔥 hii ndio maana halisi ya kikosi kipana.Man City ameshapigwa 2 nyumbani kwake
Kweli huu ni mwaka wa Chelsea
Hizi ni hasira si za kawaida kabisa umepatwa na nini mzee baba? Draw apate liverpool ila maumivu uhamishie kwa mashabiki wa chelseafc hii kitaalamu inaitwaje?Rent Boys wakimaliza mechi yao hukimbilia kuja hapa?
You know why? Fanya Comparison kati ya Uzi wa Rent Boys na huu wa Liverpool.
Fanya Comparison kati ya Ukubwa wa Liverpool na Rent Boys.
Utajua kwanini wanaishia kuja hapa.