42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Wewe endelea kujifariji kuwa unyibiteni.Usiwe kipande ya tako....
Wewe endelea kujifariji kuwa unyibiteni.Usiwe kipande ya tako....
Tatizo lipo wazi mkuu, udhaifu TAA kuzuia mashambulizi unaendelea kuiumiza timu. Klopp anapaswa abadilike, aidha ambalishie namba ama ampige benchi nafasi yake ichukuliwe na Joe Gomez.
Sent using Jamii Forums mobile app
..... Amini big brotherSure man. Ox Shambalaini ni mfanyakazi hewa.
Usiwe kipande ya tako....Wewe endelea kujifariji kuwa unyibiteni.
PovuuuuuUsiwe kipande ya tako....
Hivi hawa ni kwamba hasira ziliwabana sana?
Nawaachiaje chelsea kwa mfano?yaani kuharibu leo tu TAYARI TUSHAKATA TAMAA?HAKUNA KITU KAMA HICHO...NAFASI YA UBINGWA IPO...NAAMIN KLOPP ANAYAFANYIA KAZ MAPUNGUFU YA LEO...YNWAKabisa tuwaachie tu Mabingwa Chelsea hata tukiitwa takataka sawa tu. Maana performance tulio ionesha hakuna kitu hapo.
Ni sahihi ila tukichunguza tatizo kiujumla, upande wa TAA umekuwa changamoto sana katika defence yetu. Fanya ufuatilie kwa makini mechi zijazo utaelewa ninachokinena.Weakness ya leo ilikuwa midfield yetu
Usiwe kipande ya tako....Povuuuuu
Hey love....
Tatizo ndugu nyie mnamtegemea mfungaji mmoja, akigoma siku hiyo hamna points
Sisi mabeki wanafunga
Viungo wanafunga na forward wanafunga
Unaonekana unapenda sana kugawa takoUsiwe kipande ya tako....
Ajabu sana Boby anachoshwa na viungo wetu sana tenaMid ilitakiwa iwe inakaa hiv... Keita , fabinho and thiago /hendo ila sasa hao wawili ni pancha hatari... Siku mbili wapo hospitali now tusajili middle nashangaa wanavyomlaumu sana firminho... Firminho anakuja ku win mipira nyuma akimbize mbele anafanya kazi ya midfielder.....
Usiwe kipande ya tako.....Unaonekana unapenda sana kugawa tako
Jamani mashabiki wa Liverkuku... Huyu mwenzenu tayari siyo riziki.Usiwe kipande ya tako.....
OkJamani mashabiki wa Liverkuku... Huyu mwenzenu tayari siyo riziki.