Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyo dogo hayupo vizuri kichwani.
Kumbuka aliwahi kumfanyia Wyne Rooney faulo ya kitoto kabisa kwenye michuano ya kombe la dunia 2006 wakati alikuwa team mate wake Man U
Stress za kushindwa hazijamuacha salama.
Naona amekuwa depressed baada ya kuona ana jina kubwa na yupo ndani ya mechi na timu lao limefungwa goli 5.
Hovyo kabisa.. Yaani alinikera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dogo nae sio wa kulaumiwa huu upande yupo Salah hana kawaida ya kusaidia lawama zaidi ziwe kwa kocha mifumo yake.sasa anapanga mawinga wawe viungo si kubahatisha huko
Dogo anapandisha mashambulizi vizuri lakini anachelewa kurudi kuzuia mashambulizi, hili tatizo ndilo lilimfanya kuachwa kikosi cha timu ya Taifa kilichoshiriki Kombe la Dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile foul angecheza mchezaji wa Liverpool Trust me ingekua kadi nyekudu bila ubishi...

Refa alikua a bit soft na hawa jamaa wa Stretford ile mechi...

Japo siku hizi Manchester United have lost the edge kua na favour ya marefa lakini enzi ya Fergie hata ile ya Pogba ungeshangaa njano...

Hata hivyo hatuna noma sana ushindi ule ulifuta yote...

Japo mwisho wa msimu kama tutaukosa ubingwa kwa hizi sare na hizi timu za huku chini basi na ule ushindi utakua irrelevant kwetu..

Huwezi kuwa na historia ya kuchomolewa magoli kama hivi dhidi ya Brentford na hawa Brighton na kujihesabu unatafuta ushindi wa EPL hilo tusahau kabisa...

Tuna mechi bado na Westham, Everton, Southmpton na Leicester sasa unajiuliza kwa hawa nako tunadrop pointi...

Matip na udhaifu wake wote ni bora kuliko Konate na tukumbaliane Matip makes VVD better...

YNWA

Mkuu mpaka saizi tuko sehemu tu Nzuri yakuchukua ubingwa.

Hizo timu zingine zitakuwa rahisi tu ikiwa wachezaji wakutegemewa watakwepo wote bila hivyo zitakuwa ngumu ndio hicho tu.

Chelsea kuongoza point 3 mbele yetu sio kuanza kukata taa kwamba Chelsea anachukua ubingwa.
Arsenal na Man U leo hii wako na point sawa na wakati watu walikuwa wanasema Man U wanachukua ubingwa sasa wewe bingwa tena uko point sawa na Arsenal.

Kwa upande wangu bingwa na top 4 yote naipata Baada ya mechi 19(mzunguko wa kwanza kuisha)

Mara nyingi table inabaki hivyo hivyo ilivyo Baada ya mechi 19.

Ukiona Baada ya 19 timu iko ndani ya top 4 hiyo timu lazima itamaliza ndani ya top 4.
 
Nimeshangaa Sana chuki za wazi za cr7 dhidi ya Salah,na bado akaachwa!

Mkuu naomba utakuwa unanitag huku kila tukiwa na mechi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Your wish would be granted... Its my pleasure...

Huyu CR7 ana wenge kuona EPL uflame wake umefifia sana tofauti na alivyotarajia maana kabla ya ya hii gemu yetu alisema ana uhakika wa kushinda makombe mengi tu pale Old Trafford matokeo yake akaambulia 4 kabla ya Half time sasa zile hasira ndio vile vikawa vikaoneakana laivu bila chenga...

Kingine any great player is jealous is of the next great player in the making thus hili la Salah wala usishangae na pia CR7 has been a serial winner for the past 15 years or so hivyo haya ya sasa ni mageni kwake hakujiadaa kabisa tangu yupo Juventus na sasa Manchester United.. He is a winner and winners hate losing like he is doing now...

YNWA
 
Mkuu mpaka saizi tuko sehemu tu Nzuri yakuchukua ubingwa.

Hizo timu zingine zitakuwa rahisi tu ikiwa wachezaji wakutegemewa watakwepo wote bila hivyo zitakuwa ngumu ndio hicho tu.

Chelsea kuongoza point 3 mbele yetu sio kuanza kukata taa kwamba Chelsea anachukua ubingwa.
Arsenal na Man U leo hii wako na point sawa na wakati watu walikuwa wanasema Man U wanachukua ubingwa sasa wewe bingwa tena uko point sawa na Arsenal.

Kwa upande wangu bingwa na top 4 yote naipata Baada ya mechi 19(mzunguko wa kwanza kuisha)

Mara nyingi table inabaki hivyo hivyo ilivyo Baada ya mechi 19.

Ukiona Baada ya 19 timu iko ndani ya top 4 hiyo timu lazima itamaliza ndani ya top 4.
Mkuu Ladder wewe tuko pamoja humu tangu long time... Ipo hivi ndugu na unajua vyema solid defence will give you trophies huo ndio ukweli any day of the week...
Our defence now is everywhere so penetrative, we can't guard 2 goals, we can't defend when its matters yaaani concern ipo hapo tu... Imagine tupo hivi mechi ya 10 hivi sasa jiulize tukianze zile dry spell pale Mbele January na February 2022 itakua aje ndugu...
If we are serious about this 20th trophy time to act and keep back four in shape ni sasa sio 2022...

Sasa la ubingwa sijasema we out mbali naona current trend sio ya candidate wa ubingwa ndugu..

Got to accept Brighton is one the best teams ambao they don't get the credit they deserve... Huyu kocha wao Porter was the 1st choice ya Levy pale Spurs alivyomtumia Mo Special 1 lakini jamaa aligoma kutoka Falmer yaaaani...

Nwa we are down but not out.

YNWA
 
Jamani eeee tuwasindikizeni tu Chelsea na man city kwenye ubingwa hatuna kitu hapo, yaani hizi team ndigo ndogo tunadraw tunaenda kutana na Westham away unafikiri nini kitatokea? Kwa low performance hii mimi nime give up.
Mzee labda huwa huangalii league ila Brighton usiwachukulie poa kiasi hicho. Nadhani sisi tuahukuru hata kupata point moja. Hao jamaa ni wakali.
 
Simple analysis

Ni aidha hawa wachezaji wa kati hawafuata maelekezo ya waalimu au vichwa maji...

Inajulikana vyema bila Fabinho kuwepo kikosini basi ku defence inakua ni unit yaaani kuanzia Salah, Keita, TAA hivyo inakua pale TAA/Robertson anashambulia basi MF upande ule anakua anacheza kama DMF meaning anakua half MF half RB/LB..
Hii kazi Gini alikua anaifanya kwa umakini mkubwa sana upande wa Robertson lakini huku kwa TAA hakujapata jawabu kwa muda nrefu sanaaaa... Gini hata assist na magoli yake yalikua ya kubahatisha kwa sababu ilikua sio kazi yake...
Sasa tuna ma MF wanaodhani kazi zote wanazimudu wakati uwezo wao mdogo sanaaa yaaani..

Klopp ana kibarua kigumu sana maaana huwezi kucheza mechi zote kwa ile intensity ya gemu ya pale Trafford ukiwa na kikosi finyuuu hivyo ndugu zangu tutarajia along the road tutakua na siku kama hizi kibaruani...

YNWA
 
Bado mapema sana kukata tamaa ligi hii ni marathon ndo kwanza gemu ya kumi
Jamani eeee tuwasindikizeni tu Chelsea na man city kwenye ubingwa hatuna kitu hapo, yaani hizi team ndigo ndogo tunadraw tunaenda kutana na Westham away unafikiri nini kitatokea? Kwa low performance hii mimi nime give up.
 
Truth
Simple analysis

Ni aidha hawa wachezaji wa kati hawafuata maelekezo ya waalimu au vichwa maji...

Inajulikana vyema bila Fabinho kuwepo kikosini basi ku defence inakua ni unit yaaani kuanzia Salah, Keita, TAA hivyo inakua pale TAA/Robertson anashambulia basi MF upande ule anakua anacheza kama DMF meaning anakua half MF half RB/LB..
Hii kazi Gini alikua anaifanya kwa umakini mkubwa sana upande wa Robertson lakini huku kwa TAA hakujapata jawabu kwa muda nrefu sanaaaa... Gini hata assist na magoli yake yalikua ya kubahatisha kwa sababu ilikua sio kazi yake...
Sasa tuna ma MF wanaodhani kazi zote wanazimudu wakati uwezo wao mdogo sanaaa yaaani..

Klopp ana kibarua kigumu sana maaana huwezi kucheza mechi zote kwa ile intensity ya gemu ya pale Trafford ukiwa na kikosi finyuuu hivyo ndugu zangu tutarajia along the road tutakua na siku kama hizi kibaruani...

YNWA
 
Tatizo lipo wazi mkuu, udhaifu TAA kuzuia mashambulizi unaendelea kuiumiza timu. Klopp anapaswa abadilike, aidha ambalishie namba ama ampige benchi nafasi yake ichukuliwe na Joe Gomez.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee.. Mkuu Gomez huyu huyu ama mwingine na kwa 4 3 3... Hili hapana tuedelee na TAA... Ukiwa na muda tazama kwa nini Klopp anatumia 4 3 3 ya dynamic RB na LB hilo ni sababu ya Robertson na TAA kwa vile anajua hana creativity pale kati... Gomez japo anacheza RB sidhani hata kama ana assist 5 au goli 5 pale Liverpool tangu Klopp atue..

Weakness ni pale kwa Konate ambae ni pacha wa TAA defense wise .. Konate Position wise, balance, reading the game, tactical awareness amekua poor mno pale ambapo timu inazidiwa kama leo... Ubora wa mchezaji unaonekana kama leo ndugu unapoelemewa... Ni kama dogo sasa anaitaka hii namba ya Matip kwa nguvu zotee...

Epl sio ligi ya ma baby face inahitaji kazi kazi...

YNWA
 
Wengi wao bado hawajui mpira Aisee.halafu wanakuja na hoja za kitoto sana.

Yaani wao kuongoza ligi hata kama ndio mechi ya kwanza tu wameshinda wanajiona Tayari wamechukua ubingwa wanafurahia mpaka unashaa hawa ndio mara ya kwanza kushinda au kuongoza ligi.?

Na ili wapate Promo ni lazima waje hapa! Manake iliyoshinda ni Timu yao tena haijacheza na Liverpool lakini cha ajabu baada ya mechi kumalizika badala ya kukaa kwenye uzi wao wakafanya tathmini ya mchezo wanakabilia kuja hapa! Hivi hawajishtikii kuona Washabiki wa Liverpool wanafanyia tathmini ya Timu yao kwenye Uzi wa Liverpool na wala hawafanyii kwenye uzi wa Chelsea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom