Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hey habari za masiku kwanza...

Ni hivi ndugu kwa uelewa wangu ni kwamba Klopp hutayarisha kikosi chake pre season akiweka vyema all the necessary details expected for every position and for every player, na ndio maana utaona hata TAA akiwa injured anaesimama pale most of the times ni Milner na sio Gomez hivyo hio inakupa picha kamili where Gomez position ni RFB au RCB.. Nimesema kuhusu pre season utaelewa ni kwa nini walivyoumia Matip, Gomez, VVD wale markshift hawakua wamefanya pre season kwa ajili ya ku defend na ukitazama vyema utaona after so many drills last season last 10 games we performed better. Tazama pia msimu huu Elliot pre season was prepared to play behind Salah kama AM wakati dogo ni RW hivyo maadalizi ya hizi nafasi hua ni based on pre season unless itokee injury kwa main starter.

Cha pili ndugu all along ipo wazi dogo TAA ndio weak link sasa kwenye hili Klopp ana gamble na ku take risk of which mwenyewe umesema boy is good going forward to create goal scoring opportunities, wakati anafanya hayo upande pale akiwemo Matip na Fabinho at least msaada unakuwepo wa kumsaidia defensive duties lakini pia combination ya Konate na TAA upande wa kulia jana ilnaonekana wapo tense na shaky na Seagulls wakatumia vyema nafasi zao kutuumiza... Unapokua na shaky defence ina adhiri confidence ya mashabiki na wachezaji pia ndio maana baada ya Mane kuona vile ilimlazimu kurudi nyuma kusaidia pale tulipozidiwa..
Nionavyo mimi ni kwamba VVD hajapona asilimia 💯 probably saikologically hajakaa sawa ni kama kuna uoga fulani na siwezi kumlaumu mbali anahitaji pembeni yake asimame mwamba Matip anae mfanya kujiamini..

Hapo ndugu cha kuomba ni Fabinho kuwa fit and ready to tango as soon na hopefully huko timu ya Taifa japo wamemiuta hatakwenda aisee, keeping Fabinho fit is vital to our course..

Hili la TAA kubadilishwa kwenda MF Klopp alishalikatalia na mjadala mpana kwa sababu timu ya Taifa wanatamani sana dogo acheze RAM.

Kingine MF tulionao sasa ni Attacking orientated mtazame Jones, Ox, Keita, Henderson yaani hawa to defend ain't thier things na especially the younger ones na ukimtazama Klopp muda mwingi tukiwa jana hua anatingisha kichwa tu itakupa picha kamili boys ain't executing his words to the letter...

All in all bado tupo in a very position kuliweka sawa hili la upande wa TAA..

Kwa Robertson yupo VVD na Jones jana angalau waliweza kufanya yao in tandem na as you have said Robbo is good pia sprinting back for his defensive duties..

Nina imani na Klopp haya atayafanyia kazi..

YNWA
Robertson yuko vizuri kwenye kukaba unlike Trent na hicho kwa maoni yangu ndicho kinatoa sababu ya yeye kuwepo daima in every lineup

Jana hiyo nimeona sana Trent yuko out of position with catastrophic Attacks always raged on on his areas he is supposed to be defending
 
Ni kweli ubingwa unawafuata Chelsea maana wana timu ya kawaida sana lakini wanapata matokeo.
Yaah Safari inakuwaga hivyo ...

Japo sisi tunaotafuta ubingwa tunaweza kukaza tukachukua kabla haujamfikia Chelsea...

Kiufupi sisi wanajimu tunasema ,Chelsea kasimama na epl inamfuata ,but wengine tunaikimbiza epl kuiweka mfukoni ...
 
Robertson yuko vizuri kwenye kukaba unlike Trent na hicho kwa maoni yangu ndicho kinatoa sababu ya yeye kuwepo daima in every lineup

Jana hiyo nimeona sana Trent yuko out of position with catastrophic Attacks always raged on on his areas he is supposed to be defending
Hivi Mkuu TAA ni trash defending but a pure gem when attacking... Hivi let's say Klopp to switch to 3 5 2 pale akapanga hivi
Nyuma > Gomez, Matip, VVD

Kati > TAA, Jones, Henderson, Fabinho Robertson

Mbele > Mane, Salah.

Ama

Nyuma> TAA, VVD, Robertson

Kati> Minamino, Henderson, Fabinho, Jones, Jota

Mbele> Mane Salah.

YNWA
 
Kwa performance ya Chelsea basi msimu huu ndiyo mabingwa wa EPL.

Nimeyasema haya based on performance

Mkuu mwaka jana unakumbuka everton na aston villa mechi 5 za mwanzo?

Walishinda mechi zote aston villa alikuwa hajarusu goli lolote,mlikuja hapa mkatuaminisha watachukua ligi me nikawapinga uzuri mkanielewa.

Everton Uliwatabiria watafanya vizuri chini ya Carlo,ligi imeisha wako nje ya top 10.


Msimu uliopita Walikuja Man U ukatuaminisha tena watachukua ubingwa lakini wakaangukia pua.


Kuna muda pia msimu huu kuna watu walisema Man U watachukua ubingwa lakini Saizi hawasemi tena maana Man U na Arsenal point sawa na Arsenal na wao arsenal wataanza kusema tunachukua ubingwa.


Kwa mtazamo wangu ni sisi na man city tukiongoza ligi tunakuwa bado hatuamini kama tutachukua ubingwa mpaka mwisho wa ligi au gap la point liwe kuanzia point 15 huko na kuendelea,tofauti na hapo hakunaga kelele kwamba ubingwa wa kwetu Safari hii.

Timu zingine zikiwa hapo juu kelele zinakuwA nyingi sana kulazimisha kwamba tuwaamini wao ndio mabingwa wa msimu.sijajua kwanini iko hivyo hiyo.hizo kelele usije ukaziogopa misimu yote zipo hizo kelele hata msimu ujao pia zitakuwepo pia.


Kusema chelsea ni mabingwa msimu huu ni sawa kwa upande wako maana unaangalia upepo Uko wapi saizi,ila mambo yanakuwa yanabadilika especially kwenye Epl.

Kuna muda tena utafika utatuaminisha timu nyingi tena kwamba ndio watakuwa mabingwa.tutakubali pia maana tunaangalia upepo uko wapi Saizi.

Navyoona saizi upepo unavyoenda Arsenal na wenyewe wanakuja soon watatulazimisha tuamini wao watakuchua ubingwa ,kuanzia wafungwe zile goli tano na man city hawajafungwa tena mpaka leo hii


Kwa upande wangu me simpi nafasi chelsea ya kuchukua ubingwa kwasababu tu saizi anaongoza ligi .sijaanza kuifatilia leo Epl naijua vizuri sana.


Na sasa hivi wataendelea kuonekana maana walianza na mechi ngumu saizi naona wako na timu zinazoshika nafasi ya mwisho kwenye Epl.(norwich,Newcastle).
 
Inakuaje ina team yakawaida ukiwa inaongoza magoal yakufunga na ndio team iliyoruhusu magoal machache huo ukawaida unaozungumza uko wapi?

Mkuu kiukweli hamna wachezaji wakuwapa ubingwa pale Epl, ni swala la muda tu.

Saizi hautaelewa subiria ligi iishe ndio utaelewa,hawezi kuelewa saizi kwa sababu unaongoza ligi.

Na hutaki kusikia chochote zaizi ya kuambiwa unachukua ubingwa.
 
Adjustments.jpg
 
Mkuu ratiba imewabeba mkuu mechi zenu mbili za mwisho ummecheza timu za mwisho Kwenye ligi.

Mlivyokuwa full mbona mlifungwa.

Hivi ndio mtaongoza ligi mpaka ligi inaisha ? Ndio mnavyoamini mashabiki wa Chelsea,kitu ambacho hakipo hicho
Mbona nyie hamjabebeka sasa na kina Brighton n Brentford
 
Mkuu kiukweli hamna wachezaji wakuwapa ubingwa pale Epl, ni swala la muda tu.

Saizi hautaelewa subiria ligi iishe ndio utaelewa,hawezi kuelewa saizi kwa sababu unaongoza ligi.

Na hutaki kusikia chochote zaizi ya kuambiwa unachukua ubingwa.
Ndo wachezaji wa Aina gani hao maana waliokuwepo wanafanya Tunashinda na tunafunga magoli mengi.
 
Wilfred Zaha anakusalimia hahaha
Tuache utan Chelsea ubingwa unawafata ....

Wengine tuliobaki city ,liverpool ,man utd tunautafuta ubingwa ....



Game ya liverpool vs Chelsea..

Game ya Brentford vs Chelsea ...

miongoni mwa game zilizokuwa zinaonesha kuwa ubingwa wa epl unaifuata Chelsea ,Wala Chelsea hatafuti ubingwa ....
 
Newcastle target Real's Kroos - Sunday football updates

Newcastle want Ajax boss Erik ten Hag to be the club's new manager

Liverpool are considering a move for Real Madrid and Serbia striker Luka Jovic, 23.

Van de Beek adviced to change agent if he wants to leave United

Liverpool are keen on Leicester and England winger Harvey Barnes, 23.

Antonio Conte does not want to take charge of a team mid-season.

Read More
 
Mkuu ratiba imewabeba mkuu mechi zenu mbili za mwisho ummecheza timu za mwisho Kwenye ligi.

Mlivyokuwa full mbona mlifungwa.

Hivi ndio mtaongoza ligi mpaka ligi inaisha ? Ndio mnavyoamini mashabiki wa Chelsea,kitu ambacho hakipo hicho
Ukija kushtuka ligi imeisha tumebeba kombe...

Kitu ambacho unashindwa kuelewa ni kwamba kikosi cha chelsea ni kipana kuliko hii timu yenu takataka.. Imagine akiumia tu VVD biashara inawakata.

Hivi katika mazingira kama hayo utajifanishaje na chelsea?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom