Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,567
Huyu dogo nae sio wa kulaumiwa huu upande yupo Salah hana kawaida ya kusaidia lawama zaidi ziwe kwa kocha mifumo yake.sasa anapanga mawinga wawe viungo si kubahatisha hukoNi sahihi ila tukichunguza tatizo kiujumla, upande wa TAA umekuwa changamoto sana katika defence yetu. Fanya ufuatilie kwa makini mechi zijazo utaelewa ninachokinena.
Sent using Jamii Forums mobile app



