42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Tunaongoza ligi kunguni nyinyi....Tuombe Mungu hata mechi iishe hivi hivi
Chelshit kule naona mambo bado
Tunaongoza ligi kunguni nyinyi....Tuombe Mungu hata mechi iishe hivi hivi
Chelshit kule naona mambo bado
mtapata shida sana kunguni nyinyi... tunaongoza ligiRent Boys wanaongoza huko
Acha waendelee kuwa unbeaten....Liverpool still unbeaten![]()
Usiwe na mihemko tulia mlivapuu mwenzangu mpira una matokeo mengi sana...Kwa performance ya Chelsea basi msimu huu ndiyo mabingwa wa EPL.
Nimeyasema haya based on performance
Mid ilitakiwa iwe inakaa hiv... Keita , fabinho and thiago /hendo ila sasa hao wawili ni pancha hatari... Siku mbili wapo hospitali now tusajili middle nashangaa wanavyomlaumu sana firminho... Firminho anakuja ku win mipira nyuma akimbize mbele anafanya kazi ya midfielder.....Nilichokiona mkuu hatuna Mido za maana Aisee ushindi wetu unategemea mida kacheza nani.
Kama leo Mido zetu ni Henderson tu ndio alikuwa anakaa mipira hao wengine wanasubiria wapewe mipira tu waipoteze.
Tatizo ndugu nyie mnamtegemea mfungaji mmoja, akigoma siku hiyo hamna pointsKwa performance ya Chelsea basi msimu huu ndiyo mabingwa wa EPL.
Nimeyasema haya based on performance
Tumefungwa.?Liverpool mmeangukia tumbo, City kalala chali, anafungwa na academy wetu halafu kuna mtu anasema kuna timu pale
Tatizo lipo wazi mkuu, udhaifu TAA kuzuia mashambulizi unaendelea kuiumiza timu. Klopp anapaswa abadilike, aidha ambalishie namba ama ampige benchi nafasi yake ichukuliwe na Joe Gomez.Mwisho wa Msimu tutaweka Kikao cha dharura hapa kujadili mechi hii ya leo na ile ya Brentford.
Ni mechi tulizopoteza points kwa uzembe kabisa
Usijali, still unbeaten. mimi nilkikuwa nawasemea CityTumefungwa.?
Hapana hamjafungwa, nyinyi ni unyibiteni na mnaongoza ligi...Tumefungwa.?
Brighton deserve the pointWe are being out played...
We are being out classed
We are being pulled out of position
Hate playing against Brighton they know where our weakness lies and man they hold the upper hand now.
We need cool heads now otherwise...
Get Jota now Bobby out he ain't clicking today
So poor for the lads...
YNWA
Usiwe kipande ya tako....Hapana hamjafungwa, nyinyi ni unyibiteni na mnaongoza ligi...
Una wivu wa kike....Usiwe kipande ya tako....
Sure man. Ox Shambalaini ni mfanyakazi hewa.Ynwa... Hatuna mid sisi
Usiwe kipande ya tako....Una wivu wa kike....