Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Hey habari za masiku kwanza...My fellow red please please be fair and rational and do not let your emotions prevail
Our very good Trent Anorld is not a good defender but he is great going Forward , heard in the past that it was Klopp who sent him to that Fullback role but himself(TAA) was originally prepared by our Academy as a Midfielder
So let us be honest and let us not judge people or defend people hypocritically
Robertson is a good defender but not that great going forward and that attribute of him being a man good enough for defending suffice his regular starting place always if not forever
Ni hivi ndugu kwa uelewa wangu ni kwamba Klopp hutayarisha kikosi chake pre season akiweka vyema all the necessary details expected for every position and for every player, na ndio maana utaona hata TAA akiwa injured anaesimama pale most of the times ni Milner na sio Gomez hivyo hio inakupa picha kamili where Gomez position ni RFB au RCB.. Nimesema kuhusu pre season utaelewa ni kwa nini walivyoumia Matip, Gomez, VVD wale markshift hawakua wamefanya pre season kwa ajili ya ku defend na ukitazama vyema utaona after so many drills last season last 10 games we performed better. Tazama pia msimu huu Elliot pre season was prepared to play behind Salah kama AM wakati dogo ni RW hivyo maadalizi ya hizi nafasi hua ni based on pre season unless itokee injury kwa main starter.
Cha pili ndugu all along ipo wazi dogo TAA ndio weak link sasa kwenye hili Klopp ana gamble na ku take risk of which mwenyewe umesema boy is good going forward to create goal scoring opportunities, wakati anafanya hayo upande pale akiwemo Matip na Fabinho at least msaada unakuwepo wa kumsaidia defensive duties lakini pia combination ya Konate na TAA upande wa kulia jana ilnaonekana wapo tense na shaky na Seagulls wakatumia vyema nafasi zao kutuumiza... Unapokua na shaky defence ina adhiri confidence ya mashabiki na wachezaji pia ndio maana baada ya Mane kuona vile ilimlazimu kurudi nyuma kusaidia pale tulipozidiwa..
Nionavyo mimi ni kwamba VVD hajapona asilimia 💯 probably saikologically hajakaa sawa ni kama kuna uoga fulani na siwezi kumlaumu mbali anahitaji pembeni yake asimame mwamba Matip anae mfanya kujiamini..
Hapo ndugu cha kuomba ni Fabinho kuwa fit and ready to tango as soon na hopefully huko timu ya Taifa japo wamemiuta hatakwenda aisee, keeping Fabinho fit is vital to our course..
Hili la TAA kubadilishwa kwenda MF Klopp alishalikatalia na mjadala mpana kwa sababu timu ya Taifa wanatamani sana dogo acheze RAM.
Kingine MF tulionao sasa ni Attacking orientated mtazame Jones, Ox, Keita, Henderson yaani hawa to defend ain't thier things na especially the younger ones na ukimtazama Klopp muda mwingi tukiwa jana hua anatingisha kichwa tu itakupa picha kamili boys ain't executing his words to the letter...
All in all bado tupo in a very position kuliweka sawa hili la upande wa TAA..
Kwa Robertson yupo VVD na Jones jana angalau waliweza kufanya yao in tandem na as you have said Robbo is good pia sprinting back for his defensive duties..
Nina imani na Klopp haya atayafanyia kazi..
YNWA
hii ndio maana halisi ya kikosi kipana.
