Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na ili wapate Promo ni lazima waje hapa! Manake iliyoshinda ni Timu yao tena haijacheza na Liverpool lakini cha ajabu baada ya mechi kumalizika badala ya kukaa kwenye uzi wao wakafanya tathmini ya mchezo wanakabilia kuja hapa! Hivi hawajishtikii kuona Washabiki wa Liverpool wanafanyia tathmini ya Timu yao kwenye Uzi wa Liverpool na wala hawafanyii kwenye uzi wa Chelsea?
Hili Mkuu ulishaliweka sawa kipimo chao ni Majogoo...

YNWA
 
Your wish would be granted... Its my pleasure...

Huyu CR7 ana wenge kuona EPL uflame wake umefifia sana tofauti na alivyotarajia maana kabla ya ya hii gemu yetu alisema ana uhakika wa kushinda makombe mengi tu pale Old Trafford matokeo yake akaambulia 4 kabla ya Half time sasa zile hasira ndio vile vikawa vikaoneakana laivu bila chenga...

Kingine any great player is jealous is of the next great player in the making thus hili la Salah wala usishangae na pia CR7 has been a serial winner for the past 15 years or so hivyo haya ya sasa ni mageni kwake hakujiadaa kabisa tangu yupo Juventus na sasa Manchester United.. He is a winner and winners hate losing like he is doing now...

YNWA
Ndio kumpiga mwenzie kibondia vile!
Lol, expectations zake ndizo zinazomuharibu kichwa.
Akubali tu zama zake zakaribia kuishia,, Kuna upcoming players walio better zaidi yake kwa Sasa.

Mechi ya leo sijaicheck,,nadhani nitaangalia Kesho marudio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ili wapate Promo ni lazima waje hapa! Manake iliyoshinda ni Timu yao tena haijacheza na Liverpool lakini cha ajabu baada ya mechi kumalizika badala ya kukaa kwenye uzi wao wakafanya tathmini ya mchezo wanakabilia kuja hapa! Hivi hawajishtikii kuona Washabiki wa Liverpool wanafanyia tathmini ya Timu yao kwenye Uzi wa Liverpool na wala hawafanyii kwenye uzi wa Chelsea?
Sisi Liverpool huwa niwastaarabu sana sijui yenyewe yanakujaje kwenye uzi wetu
 
Ndio kumpiga mwenzie kibondia vile!
Lol, expectations zake ndizo zinazomuharibu kichwa.
Akubali tu zama zake zakaribia kuishia,, Kuna upcoming players walio better zaidi yake kwa Sasa.

Mechi ya leo sijaicheck,,nadhani nitaangalia Kesho marudio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha bhana huo ndio ukweli walikuwepo akina Zizou, Gaucho, Platini, Nedved, Romario, Xavi, SG, Kaka, Maradona, Pele nk na leo imebaki historia... Kwa sasa atulie kwanza tupo kukazi zaidi hizi individual accolades tutajuana mwisho wa msimu nani nani...

😂😂😂😂Kufungwo kunauma achaaaa yaaani usishangae tena kufungwo nyumbani na hasimu wakoo mkuuuu yaaani tena mbele ya mashabiki wako na huku bookies majuu ziliwaaminisha wapo bora yetu watamaliza juu yetu yaaani japo kwa hii EPL yote yanawezekana lakini tukumbushane tu winning is addictive na vile vile losing is addictive hivyo ni cross roads kwa timu zote chini ya Les Blues kutafuta winning formula..

Am positive Klopp will turn this around... Wengine watajiju hayatuhusu kwa kweli..

YNWA
 
23 dakika mtu mzima anaongoza mbili ..Mara paap mzigo unasoma 2-2

Wapi Salaha leo....😂😂😂
 
Na ili wapate Promo ni lazima waje hapa! Manake iliyoshinda ni Timu yao tena haijacheza na Liverpool lakini cha ajabu baada ya mechi kumalizika badala ya kukaa kwenye uzi wao wakafanya tathmini ya mchezo wanakabilia kuja hapa! Hivi hawajishtikii kuona Washabiki wa Liverpool wanafanyia tathmini ya Timu yao kwenye Uzi wa Liverpool na wala hawafanyii kwenye uzi wa Chelsea?
Msitufokeee

Tutawakera Hadi mfe 😂😂😂😂
 
Lile goli la Kwanza alilofungwa like Shati lenu pale golini ..kitaalamu linaitwaje😂😂🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom