Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,452
- 32,889
Duu Minamino.....
Dakika nne awe cult hero...
PPanic sub by Klopp
YNWA
Dakika nne awe cult hero...
PPanic sub by Klopp
YNWA
Kabisa tuwaachie tu Mabingwa Chelsea hata tukiitwa takataka sawa tu. Maana performance tulio ionesha hakuna kitu hapo.Mechi imeisha hii hakuna Mchezaji mwenye nia ya kutafuta ushindi
Kwa performance ya Chelsea basi msimu huu ndiyo mabingwa wa EPL.
Nimeyasema haya based on performance
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Liverpool still unbeaten [emoji3]
Liverpool still unbeaten [emoji3]
Duu Minamino.....
Dakika nne awe cult hero...
PPanic sub by Klopp
YNWA
Nusura wawapige tena Bahati yenu.Hawa Brighton ndio walitupiga hapa hapa nyumbani kufuta rekodi yetu ya kutofungwo mechi 68...
Tuna jambo letu.
YNWA
kwa beki hii hakuna ubingwa hapa, mechi vs bretford tuliongoza 3 zikarudi zote point 2 droped, vs City tulitupia 2 zikarudi , 2points droped, leo tena 2 zimerudi 2points droped jumla point 6 ambazo tulikua kwenye nafasi ya kuzibeba, timu haijui kukaba hii kabisa inawapa wapinzani mianya mingi sana ya kufunga ni wao tuu kukosaMwaka Juzi tulipoteza mchezo mmoja tu lakini Ubingwa akabeba Man City.
Kilichotuathiri ni Draw ndugu
There's no Trophy for Unbeaten or runner up.
Only the leader ndiye atakayepata Kombe
Kuna mianya mingi sana pale MF na pale nyuma sijui wanategeana ama niaje...Mwisho wa Msimu tutaweka Kikao cha dharura hapa kujadili mechi hii ya leo na ile ya Brentford.
Ni mechi tulizopoteza points kwa uzembe kabisa
Mnastahili ndugu.Nusura wawapige tena Bahati yenu.
The blues tupo kileleni tunapeperusha bendera.