Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hata kama ingekuwa Alisson, zile deflections asingeweza kuzizuia, labda angepunguza magoli kutoka 7 kwenda 5 hivi
Mkuu angepunguza lipi labda lile la kichwa au kuna lipi angewza punguza?
 
Kuna mchambuzi alishamuonya Klopp kuhusu mfumo wake wa ulinzi wa kukabia juu( high line) na sina kumbukumbu vizuri alikuwa ni nani, ila nakumbuka alisema "endapo Liver itandelea na mfumo wa high line,itegemee kufungwa Goli nyingi", Kwa hiyo tatizo litabaki kwenye mfumo wa ulinzi anaotumia Klopp Kwa sasa.
Alikuwa Roy Keane, hlf Klopp akamzodoa
 
Nashindwa kuwalaumu sana misimu mi 3 mmepiga mpira wa nguvu sna na kikosi kilikuwa finyu all in all mpira una maajabu yake ukinaswa ndio hivyo tena mara wiki mara 6 mara 5 za city
Shukrani ndugu mpira bhana na sana sana EPL ni ngumu kutembea na matokeo mfukoni aisee lolote lile linatokea...

Ni kweli kwa hii misimu mitatu hii timu imepambana mno mno na kuleta mafanikio..

Ukweli ni kwamba udhaifu wetu ni highline japo pia ndio silaha yetu kuu endapo timu ikicheza kama unit jana ilikua hovyo sio 1st 11 wala sub wote walicheza chini ya kiwango...

Kwa sasa weak link ni VVD na Gomez pale nyuma chemistry yao hati hati itunyime ubingwa endapo hali itaedelea hivi..

Kwa vile ni ngumu kuona beki akisajiliwa leo hapa maombi ni Matip apone arejee 1st 11 na Gomez apumzike kwa sasa...

YNWA
 
Hahahahahahahahah Wametokea vipi??? Kwani yeye pale Golini anawekwa afanye nini Kama mabeki wamefanya makosa kwahiyo yeye atakiwi kuzuia,Ni mara ngapi Allison huwa anaibeba timu kwani mabeki huwa hawapo ni kwa sababu ni majukumu yake.
Kwamba hukuona alizo okoa mechi nzima?

Hivi uokote golikipa huko hafu uje umfananishe na Alison kwelii?

Hebu tofautisha hata kwa malipo yao basii
 
Acha siasa taja direct ni goli lipi Adrian angezuia ukiacha goli la kwanza

Goli likishaingia basi hakuna njia yoyote ya kusema lingezuilika, Lakini likiziulika basi hakuna njia yoyote ya kusema lingeingia unless utumie mihemko ndiyo use me vice versa.

Hivyo siwezi kukwambia kuwa Alison angezuia goli lipi, Hata aliyomzui Lacazette siku ya Arsenal yangeliingia basi tungesema hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia.

Narudia tena huwezi kupigiwa 10 on target zikaingia 7 halafu useme hapakuwa na Uzembe.

Naamini hata wewe moyoni mwako unatamani tukikutana tena Golini umkute Adrian ili ujipatie Wiki.
 
FATILIA HII INTERVIEW FUPI

ME: Beki yetu sikuhizi ni Chandarua inavujisha tu, naye Gomez kawa uchochoro anachomesha kila game.

LIVER FAN: Hapana Bro, Beki ipo vizuri tu sio mbovu, Gomez anapiga kazi na anakaba hajawahi kuchomesha.

ME: Adrian Jana kachomesha goli zote 7.

LIVER FAN: Hapana Bro, ni makosa ya Beki tu walikuwa wakivujisha! Yale magoli kipa yeyote hawezi kuyadaka.

ME: Kwahiyo umekubali kuwa Beki ni mbovu?

LIVER FAN: Hapana bro!

ME: Kwahiyo umekusudia kusemaje?

LIVER FAN: Tusajili kipa wa kumsaidia Alison.

ME: Hatuhitaji Kipa wa Ziada Adrian anatosha.

LIVER FAN: Adrian hafai kwa Backup
 
Adjustments.jpg
 
Shukrani ndugu mpira bhana na sana sana EPL ni ngumu kutembea na matokeo mfukoni aisee lolote lile linatokea...

Ni kweli kwa hii misimu mitatu hii timu imepambana mno mno na kuleta mafanikio..

Ukweli ni kwamba udhaifu wetu ni highline japo pia ndio silaha yetu kuu endapo timu ikicheza kama unit jana ilikua hovyo sio 1st 11 wala sub wote walicheza chini ya kiwango...

Kwa sasa weak link ni VVD na Gomez pale nyuma chemistry yao hati hati itunyime ubingwa endapo hali itaedelea hivi..

Kwa vile ni ngumu kuona beki akisajiliwa leo hapa maombi ni Matip apone arejee 1st 11 na Gomez apumzike kwa sasa...

YNWA

Viungo wapo wengi, hapa cha muhimu ni kuombea Alcantara na Henderson warudi kwenye fitness zao hlf Fabinho asaidiane na VVD wakati tukisubiria Matip awe vyema.

Kingine pale mbele ningependa kuona Jota anaanza na kina Mane, Salah na Firmino kwa mzunguko kusiwe na watu permanent
 
Hili tatizo la kufungwa bao nyingi lilionekana tangu msimu uliopita. Kabla ligi ijaanza nikatoa tahadhari.
Kwanza japo mulishinda dhid ya Chelsea lakini ubao ulisomeka
5-3 huh no udhaifu wa kwanza.
Kabla ya hapo Watford alikukalisha 3-1
Msimu umeanza Leeds akamkalisha allison bao 3 japo mulishinda 4.
Series imeendelea hadi sasa zimefika bao 7 per match ..hii ni dalili mbaya kwa club kama liverpool yenye mabeki waliobeba sifa za kutosha msimu uliopita na ni dalili njema kwetu sisi maana sasa tutakuwa na uhakika wa kujipigia bao kwanzia tano kuendelea. Bado tuna Everton, Wolves, [emoji41][emoji41]

Timu yenye hasira na liverpool ni Evaton. Anaweza kuwa nywesha vikombe vingi vya chai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom