Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu leo Aston Villa walituzidi wapi?

Tungekuwa hatujapata hata goli sawa ningesema tulizidiwa sana.

Sasa walichokuwa wanafanya ni kulenga goli tu,kipa anabali anauanhaliA tu mpira magoli manne yameingia kipa anabaki anaangalia tu kwa macho mpira unaingia.

Leo kuna goli kibao za deflection, kitu kama goli 3 hivi.

Na marking ya mabeki siyo nzuri msimu huu. Rejea mechi zote tulizocheza, it was just a matter of time kupoteza.
 
Yule Martinez ni kipa mzuri iko wazi. Tulimuuza huku tunamhitaji.

Liva imepigwa kidali po cha kibabe cha mwisho kabla ya international break.
 
Hey karius is that you?
Adjustments.jpg
 
Mkuu andrian anatakiwa aondolewe haraka sana tusajiri golia mwingine bila hivyo huu msimu tutawashangaza wengi Maana muda wote mpira tunao sisi lakini ubao unasoma tumefungwa 7.

Mkuu hilo liko wazi kabisa andrian nikioja

Ikumbukwe kuwa huyu ndiye kipa wa FA, kwahiyo kwenye Kombe la FA tumeshatolewa.
 
Huyu Kipa aliokotwa Mtaani akiwa Fundi Gereji baada ya kukaa bila ya Timu.

Liverpool ikaona imeokota Dodo mchangani.

Sasa ndo kila mara nasema kwamba tatizo ni letu, siyo lake.

Yeye huo ndiyo uwezo wake, kuwa kipa namba mbili wa timu zinazopambana kutoshuka daraja, siyo wa contenders.

Ubahili wetu ndo unaleta yote haya. Vya bure gharama.
 
Kuingia huku ingebidi kuwe na connection, au mnasemaje majogoo wenzangu mliotaga.?
 
Mkuu andrian anatakiwa aondolewe haraka sana tusajiri golia mwingine bila hivyo huu msimu tutawashangaza wengi Maana muda wote mpira tunao sisi lakini ubao unasoma tumefungwa 7.

Mkuu hilo liko wazi kabisa andrian nikioja
Kuna mchambuzi alishamuonya Klopp kuhusu mfumo wake wa ulinzi wa kukabia juu( high line) na sina kumbukumbu vizuri alikuwa ni nani, ila nakumbuka alisema "endapo Liver itandelea na mfumo wa high line,itegemee kufungwa Goli nyingi", Kwa hiyo tatizo litabaki kwenye mfumo wa ulinzi anaotumia Klopp Kwa sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom