the freaking highline stupidity!
it's going to be a cricket score tonite.
Klopp must stop this insanity. AND FAST!
Magoli yanarudi haya
Yamerudi tayari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magoli yanarudi haya
Hivi goli kama hili ni la kumlaumu adrian????
[emoji23][emoji23][emoji23] anakunyaHuu mwaka unatuonesha mambo mapya.
Wachezaji kuingia uwanjani bila mashabiki inawabadilisha kisaikolojia wanajihisi wanacheza cha ndimu.
Tangu nizaliwe sijawahi kuona Liverpool anakunya hii sodaView attachment 1590713
Vipi sasa mtawatangulia kwa point ngapi?[emoji23][emoji23]Leo Leeds walivyorudisha goli nimeikumbuka hii post.
Kesho tukishinda tutakuwa tumetangulia kwa 5 points.
What an impressive record![emoji23][emoji23][emoji23]
Pole na msiba jirani ila weekend imekuwa nzuri Sana hiiNinaona Notifications nyingi sana! Ngoja niangalie nani wa kumjibu.
Naona mmeshinda goli 7[emoji23][emoji23][emoji23]Hii game tunashinda
Hakuna,
Mimi nimecheki game alfa na omega, goli 4 ni deflection wamemuuza mabeki, na hayo mengine mawili counter mabeki wamechomesha, moja penați, tena amesave 1 against 1 kama mbili hivi, ambazo leo hii tungekuwa tunazungumzia 9 kwa 2,
Kipa kajitahidi sana tena sana
Hivi goli kama hili ni la kumlaumu adrian????
Mnabeki za hovyo tu
Yamerudi tayari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]