Katalama
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 855
- 1,481
Sergio Romero angewafaa sanaa! Tatizo hatuwezi kufanya biashara na Liverpool.Rumours
Liverpool have enquired about signing Tottenham keeper Paulo Gazzaniga.
Sergio Romero angewafaa sanaa! Tatizo hatuwezi kufanya biashara na Liverpool.Rumours
Liverpool have enquired about signing Tottenham keeper Paulo Gazzaniga.
Huyu nae ni INJURY PRONE tu hana tofauti na Matip, OX Goalkeeper kupata injuries huwa ni ngumu lakini kwa huyu wa kwetu imekuwa ni too much.
Hili tatizo la kufungwa bao nyingi lilionekana tangu msimu uliopita. Kabla ligi ijaanza nikatoa tahadhari.
Kwanza japo mulishinda dhid ya Chelsea lakini ubao ulisomeka
5-3 huh no udhaifu wa kwanza.
Kabla ya hapo Watford alikukalisha 3-1
Msimu umeanza Leeds akamkalisha allison bao 3 japo mulishinda 4.
Series imeendelea hadi sasa zimefika bao 7 per match ..hii ni dalili mbaya kwa club kama liverpool yenye mabeki waliobeba sifa za kutosha msimu uliopita na ni dalili njema kwetu sisi maana sasa tutakuwa na uhakika wa kujipigia bao kwanzia tano kuendelea. Bado tuna Everton, Wolves, 😎😎
Ebu taja makosa yote ya Adrian
Goli la kwanza lake
Goli la pili counter
Goli la tatu deflection
Goli la nne - poor defending
Goli la tano la Barkley - Deflection
Goli la sita - deflection
Goli la saba la Gomez - poor defending
Kwea ufupi timu jana utadhani haikutokea kwenye mazoezi
Mabeki hawakuwa na compsure ya Liverpool tuliyoizoea hasa Gomez kaiozesha safu nzima ya nyuma, kule mbele Mane ndie huwa anaichangamsha , jana mbele ilipooza mno
Msimtoe kafara Adrian hata kama kiukweli ni kwamba sio kipa mzuri kama Alisson lakini kosa lake jana ni goli la kwanza tu
Hata hivyo Adrian aliokoa baadhi ya counter kama m,bili hivi zingekuwa 9 jana
Unahekima sana na nakushukuru umeniokoa na ban ya kwanza tangu nijiungeGIF za magoli huwa naweka uzi husika mfano GIF za spurs nimeweka uzi wa spurs angalia humu jukwaan utauona(goli zote sita)
Villa hawana uzi serious humu,goli saba uwiii mb zangu zitaisha.
Mpaka wanalenga goli wanatokea wapi?Mkuu leo Aston Villa walituzidi wapi?
Tungekuwa hatujapata hata goli sawa ningesema tulizidiwa sana.
Sasa walichokuwa wanafanya ni kulenga goli tu,kipa anabali anauanhaliA tu mpira magoli manne yameingia kipa anabaki anaangalia tu kwa macho mpira unaingia.
Kuna watu wanakomaa kipa bila kulaumu walio muweka.Tatizo siyo la kipa, narudia tena kusema kwamba tatizo ni la timu.
Timu inayogombea makombe kipa wake namba 2 hawezi kuwa kipa aliyeachwa na Westham.
Hahahahahahahahah Wametokea vipi??? Kwani yeye pale Golini anawekwa afanye nini Kama mabeki wamefanya makosa kwahiyo yeye atakiwi kuzuia,Ni mara ngapi Allison huwa anaibeba timu kwani mabeki huwa hawapo ni kwa sababu ni majukumu yake.Mpaka wanalenga goli wanatokea wapi?
Wanakuambia kila ikipigwa imooo bila kuangalia inapigwa mazingila gani?Kuna mchambuzi alishamuonya Klopp kuhusu mfumo wake wa ulinzi wa kukabia juu( high line) na sina kumbukumbu vizuri alikuwa ni nani, ila nakumbuka alisema "endapo Liver itandelea na mfumo wa high line,itegemee kufungwa Goli nyingi", Kwa hiyo tatizo litabaki kwenye mfumo wa ulinzi anaotumia Klopp Kwa sasa.









Kuna namna anaweza kua garasa ila kipaji chake unakijuaHivi ni mimi tu nmeona kama Gomezi nae amesaidiana na kipa kutuchomesha.....au?
Gomezi pia ni garasa






*Kuna watu wanakomaa kipa bila kulaumu walio muweka.
Kipa aokoe mpaka diflekshen
wanapitwa wote anabakia na mshambuliaji anatakiwa aokoe
Goli saba zote ni kipa
Kipa kwangu siyo tatizo sana, ila team yenyewe tu imeshafikia ceiling, ni muda wa kuanza kuwa tunafungwa fungwa mpaka akili itakapotukaa sawa.
Tutakuja kugundua tatizo baadae.
Mfano, tunasubiri nani atuambie kwamba Firmino siyo yule tena? Jana kama mapema sana angefunga chances zake, tungeweza kucontrol ile game.
Tulizungumza kuhusu kusajili beki wa kati.
Kiungo tumesajili ila ndo zile cheap options na injury prone.
Natamani kuona Jota anacheza namba ya Bobby hivi karibuni.
Sasa unamlaumu vipi hali ya kua unajua alipotoka kwa nini usimlaumu alie mpanga?I can't believe! Pepoz doing everything to protect Adrian, for what reason?
Jamaa ametuchomesha! Period.
Upo makini mkuuHakuna,
Mimi nimecheki game alfa na omega, goli 4 ni deflection wamemuuza mabeki, na hayo mengine mawili counter mabeki wamechomesha, moja penați, tena amesave 1 against 1 kama mbili hivi, ambazo leo hii tungekuwa tunazungumzia 9 kwa 2,
Kipa kajitahidi sana tena sana
You mean no right to save deflection? kwa mipira iliyopigwa golini huwezi kunishawishi kuwa kipa yoyote hawezi kuyacheza.
Mpira unaweza kuingia golini lakini unaona jitihada za kipa, Lakini jamaa anasimama tu kama mbolo insyosubiri papuchi na kuiabgalia mipira inaingia golini halafu asihusike?
Jamaa hamna Kitu kwakweli! Unasema haya kwasababu ni wa Liverpool, Angelikuwa ni Kepa aliyefungwa magoli Yale basi ungeliwakera Blues na mabango ya "KEPA NI SHATI"![]()
Edit Mkuu, mtu kanywa 7Up Jana ndio maana wanoko wanashinda na kukesha kwenye huu uzi hadi siku ya kuanua matanga.anakunywa
Acha siasa taja direct ni goli lipi Adrian angezuia ukiacha goli la kwanzaKwani kuna Goli linalofungwa bila ya Mpira kupita kwa Mabeki? 😂😂
Kwahiyo iwapo Beki amekosea kipa hana Jukumu la kuzuia?
Basi Timu zicheze tu game bila ya Makipa kwasababu wanaopaswa kuzuia ni mabeki na sio kipa.
Tulipocheza na Arsenal inaonesha Alison alifanya kosa kubwa sana kumblock Lacazette kufunga kwasababu mabeki walishafanya uzembe wakati akikosea Beki kipa hana mamlaka ya kuzuia Si ndiyo?